Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

haya waomba vocha wote wanyooshe vidole :lol::lol:

Wanasema kuishi kwingi kuona mengi.lol
 
yani acha tu dear....mwanaume mtu mzima anakudekea kama vile wewe mama yake...anabana pua kabisa akiomba vocha.....:tongue:

TF is a real man ....akikuomba vocha mpe tu ila hana tabia hiyo!!:washing:

ha ha ha ha ha :lol::lol::lol: 😛hoto:
 
halafu mkishatwambia nyinyi mnaanza kufanya kazi za kike kama kuzaa n.k. Mbona mnapenda kujidhalilisha wanaume wa sasa. Kila mtu na abaki na majukumu yake ambayo mwenyezi mungu alimpangia mengine pande zote mbili ziamue kusaidiana tu na si lazima

Hapo sasa unaenda kusiko
Kuzaa ni nje na uwezo wa binadamu yeyote
Kwani kuomba vocha ni kazi ya kike au ya kiume??? Au kuomba vocha mlipangiwa na Mungu???
 
yani acha tu dear....mwanaume mtu mzima anakudekea kama vile wewe mama yake...anabana pua kabisa akiomba vocha.....:tongue:

TF is a real man ....akikuomba vocha mpe tu ila hana tabia hiyo!!:washing:
Michelle l.o.l:lol::lol::lol:
 
Kazi gani za kiume?? Na kazi gani za kike?? Weka wazi

Ha ha ha ha ha
Unaona sasa msivyochelewa.
Kweli ndege mjanja hunasa kwenye . . . . :lol:
Kuomba vocha ni kazi ya kiume au ya kike???
 
Hahahaha!
Wanaume mmefulia hadi mnaanza mizinga! Lol!
Sio wote jamani, msije nishambulia.
Sweet dada mwambie hupendi mizinga yake ya vocha. Bado kidogo ataomba hela ya kula.
 
Hahahaha!
Wanaume mmefulia hadi mnaanza mizinga! Lol!
Sio wote jamani, msije nishambulia.
Sweet dada mwambie hupendi mizinga yake ya vocha. Bado kidogo ataomba hela ya kula.

umeona eeh? na ya kununua boxer!!!:washing:
 
Hahahaha!
Wanaume mmefulia hadi mnaanza mizinga! Lol!
Sio wote jamani, msije nishambulia.
Sweet dada mwambie hupendi mizinga yake ya vocha. Bado kidogo ataomba hela ya kula.

Naomba vocha Husninyo
 
Its your duty bwana the finest hata kwenye vitabu vya dini vimeandika lazima mkamuliwe tu msikwepe majukumu yenu, hii hata mimi sijaipenda mwanaume kufanya kitu hiki nashukuru mie siombwi vocha. kuna sababu za kuombwa labda yupo sehemu mbali na maduka hii inaeleweka.hii imekaa kinyume sana
 
Hapo sasa unaenda kusiko
Kuzaa ni nje na uwezo wa binadamu yeyote
Kwani kuomba vocha ni kazi ya kike au ya kiume??? Au kuomba vocha mlipangiwa na Mungu???

Nilikujibu wewe uliesema je tukiambiwa tufanye kazi za kiume, ndio maana nikakuuliza na sisi tukiwaambia mfanye kazi za kike mtaweza? ndio maana nikatolea mfano kuzaa, wewe ndio hujaelewa
 
Sasa nishapata kisingizio
Hela ikiniishia hapa internet cafe naanza kuPM wadada kuomba vocha
 
Ndiyo usawa huo mamii
 
The Following User Says Thank You to Shantel For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Nilikujibu wewe uliesema je tukiambiwa tufanye kazi za kiume, ndio maana nikakuuliza na sisi tukiwaambia mfanye kazi za kike mtaweza? ndio maana nikatolea mfano kuzaa, wewe ndio hujaelewa

Dada Maty
Kuzaa kamwe haiwezi kuwa kazi ya Mwanaume na hakuna kiumbe wa kubadilisha hilo. Hilo tusilijadili maana liko nje na uwezo wetu.
Ila suala la vocha halina jinsia mama, au unataka kusema vocha nayo ni kazi ya kike???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…