Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

:lol::lol::lol:....naomba unitumie nakala ya hio picha uliyopiga.....au hilo nalo wataka nikutumie vocha za kunitumia????:lol::lol:


nikiweka vocha ntakutumia au nipunguzie jero basi... loolz
 
Nilikujibu wewe uliesema je tukiambiwa tufanye kazi za kiume, ndio maana nikakuuliza na sisi tukiwaambia mfanye kazi za kike mtaweza? ndio maana nikatolea mfano kuzaa, wewe ndio hujaelewa
Wewe Maty si uliniahidi kuwa utanitumia vocha haya vocha yangu iko wapi??
 
Sasa nishapata kisingizio
Hela ikiniishia hapa internet cafe naanza kuPM wadada kuomba vocha

na tutakupa bila hiyana kuliko ukaombe yule ambaye bado unamtongoza na hana mapenzi nawewe....mimi nitakupa kama dada yako,ukampate mpenzi roho ifurahi tuzidi kusaidiana hapa JF!:washing:
 
umeona eeh? na ya kununua boxer!!!:washing:

ha ha ha ha ha haaa:lol::lol::lol: na boxer tena? loooh this thread has just made my day

ngoja nijaribu kuomba vocha mahali:tongue:
 
Dada Maty
Kuzaa kamwe haiwezi kuwa kazi ya Mwanaume na hakuna kiumbe wa kubadilisha hilo. Hilo tusilijadili maana liko nje na uwezo wetu.
Ila suala la vocha halina jinsia mama, au unataka kusema vocha nayo ni kazi ya kike???

Naona hatuelewani kaka yangu wewe ulisema je wakipewa kazi za kiume? ndio na mimi nikakujibu je na sisi tukiwapa kazi za kike ndio tukafikia huko kwenye kuzaa kama kazi mojawapo ya kike my dia.

Nikija kwenye ishu yako ya vocha sio kazi ya kike wala ya kiume hata mimi nikiwa na mpenzi akiishiwa wala sio ishu kumpa vocha hata pesa kama ninayo nampa. Turudi kwenye mada huyo kaka anaemzungumzia sweet dada sio mstaarabu hata kidogo msome vizuri wakiongea kidogo mara amwambie credit imeisha, mara nitumie vocha hata wewe unaetetea sidhani unaweza fanya hivyo. Huyo ni baadhi ya wanaume wanaojitokeza siku hizi wanaopenda kulelewa bila sababu za msingi, ikiwa hata wanaume wanakereka tukiwaomba vocha hovyo tena inawezekana akawa mpenzi wako kabisa je mwanaume inakuja?

Kama hatujaelewana hapo basi nimemwaga manyanga
 
Wewe Maty si uliniahidi kuwa utanitumia vocha haya vocha yangu iko wapi??

Wewe nitakutumia kwani toka nakufahamu miaka yote hiyo hujawahi hata siku moja kuniomba vocha zaidi unanitumiaga tu. Nitakutumia usijali najua leo umeshikwa mpenzi sio kawaida yako
 
Jamani msifanye tusiwekewe vocha na watu wetu lol! mie asubuhi saa mbili kamili kila siku simu inalia ndindi kwa private phone yangu, kavocha bana,nishasahau kukwangua.Na wakati ninayo post paid ya ofisi. Usipomuomba atatafuta tu wa kumuwekea yaani wanaume washazoea kuhudumia tu, asipokuhudumia wewe kwa kujifanya majukumu mengi atafanya kwa mwengine tu. kumpa yeye labda aende kijijini kwao huko ndio aniombe nimtumie hapa inategemea ila sijasikia kipindi.
Hivi kumbe hampendi kuombwa vocha ee poleni ila mnatakiwa msiombwe mtume tu wenyewe kwa kujua mpo responsible kwa watu wenu. mie siombi ila lazima tu itatumwa.
 
SD tatizo ni hiyo avatar yako,'come kiss me' mmmmhh watakusumbua kweli,au hajakufahamia humu jf?
 
Refer Beijing kale ka Mkutano kenu ka kutaka equal rights btn ME&KE toa vocha mama acha kulalama....
 
SD tatizo ni hiyo avatar yako,'come kiss me' mmmmhh watakusumbua kweli,au hajakufahamia humu jf?

:lol::lol: hajanifahamia humu Bishanga
twafanya kazi kampuni moja
yawezekana hata hajui JF ni kitu gani
 
Mtumie vocha bana kwani nini? si haki sawa?!! ha ha ha ha
 
umeanza,hiyo tabia hukuwa nayo kabisa.....poa,ukiweka vocha utanitumia.....lols :washing:

tehe! sijaanza bana... ila kuomba vocha wakati hujajua hata outcome ya hilo tongozo naona imekaaa vibaya:behindsofa:
 

Daaah
Lakin ukumbuke kwamba hakuna sehemu niliyotaja kazi hata moja ya kiume, ila wewe ukataja KUZAA kama kazi ya kike!!!!
Anyway niliache hilo maana ni kitu ambacho hata usawa uombwe au utafutwe vipi haitakuja hata siku moja mwanaume akazaa
So tusiongelee visivyowezekana.

hilo suala la sweetdada nilishalielewa kitambo, na wala sijatetea unless utaje wapi nimetetea.
Mimi hata mwanamke kuniomba vocha naweza nikaona ni kukosa ustaarabu pia. So ni kila mtu anaeleza kitu ambacho hakipendi na wala haijalishi ni jinsia gani. Yeye hakipendi namkubalia, na dawa ni amueleze wazi kwamba hapendi na aachane nae. Ikishindikana anaweza hata akaripoti kwa bosi wake kwamba mfanyakazi mwenzake ametumia nafasi ya kupeana namba za simu wafanyakazi kumfanyia abuse.
Ni rahisi tu dada, tatizo litaisha mara moja
 

tunakuelewa dear..hakuna tabia naichukia kama kuomba voucher/ku beep yaani ktk vitu ambavyo vimenishinda ni hivi, labda niwe nimekwama mahali/nina shida ya muhimu sana/ghafla/dharura, na hii tabia ipo kwa wadada sana unajiuliza y umekuwa na cm but huduma zake azitoe mwingine, sasa kwa huyu mwanaume tena nae ni kimeo haswaa..
 
tehe! sijaanza bana... ila kuomba vocha wakati hujajua hata outcome ya hilo tongozo naona imekaaa vibaya:behindsofa:

ndo maana sijawahi kujuta kukupenda....una akili mno na busara!!
 

Mwe! we naona hata hatuelewani na tuishie hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…