samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,602
- 4,811
:lol::lol::lol:....naomba unitumie nakala ya hio picha uliyopiga.....au hilo nalo wataka nikutumie vocha za kunitumia????:lol::lol:
nikiweka vocha ntakutumia au nipunguzie jero basi... loolz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:lol::lol::lol:....naomba unitumie nakala ya hio picha uliyopiga.....au hilo nalo wataka nikutumie vocha za kunitumia????:lol::lol:
Wewe Maty si uliniahidi kuwa utanitumia vocha haya vocha yangu iko wapi??Nilikujibu wewe uliesema je tukiambiwa tufanye kazi za kiume, ndio maana nikakuuliza na sisi tukiwaambia mfanye kazi za kike mtaweza? ndio maana nikatolea mfano kuzaa, wewe ndio hujaelewa
Sasa nishapata kisingizio
Hela ikiniishia hapa internet cafe naanza kuPM wadada kuomba vocha
umeona eeh? na ya kununua boxer!!!:washing:
nikiweka vocha ntakutumia au nipunguzie jero basi... loolz
ha ha ha ha ha haaa:lol::lol::lol: na boxer tena? loooh this thread has just made my day
ngoja nijaribu kuomba vocha mahali:tongue:
Dada Maty
Kuzaa kamwe haiwezi kuwa kazi ya Mwanaume na hakuna kiumbe wa kubadilisha hilo. Hilo tusilijadili maana liko nje na uwezo wetu.
Ila suala la vocha halina jinsia mama, au unataka kusema vocha nayo ni kazi ya kike???
Wewe Maty si uliniahidi kuwa utanitumia vocha haya vocha yangu iko wapi??
umeanza,hiyo tabia hukuwa nayo kabisa.....poa,ukiweka vocha utanitumia.....lols :washing:
umeanza,hiyo tabia hukuwa nayo kabisa.....poa,ukiweka vocha utanitumia.....lols :washing:
Naona hatuelewani kaka yangu wewe ulisema je wakipewa kazi za kiume? ndio na mimi nikakujibu je na sisi tukiwapa kazi za kike ndio tukafikia huko kwenye kuzaa kama kazi mojawapo ya kike my dia.
Nikija kwenye ishu yako ya vocha sio kazi ya kike wala ya kiume hata mimi nikiwa na mpenzi akiishiwa wala sio ishu kumpa vocha hata pesa kama ninayo nampa. Turudi kwenye mada huyo kaka anaemzungumzia sweet dada sio mstaarabu hata kidogo msome vizuri wakiongea kidogo mara amwambie credit imeisha, mara nitumie vocha hata wewe unaetetea sidhani unaweza fanya hivyo. Huyo ni baadhi ya wanaume wanaojitokeza siku hizi wanaopenda kulelewa bila sababu za msingi, ikiwa hata wanaume wanakereka tukiwaomba vocha hovyo tena inawezekana akawa mpenzi wako kabisa je mwanaume inakuja?
Kama hatujaelewana hapo basi nimemwaga manyanga
Kumdhalilisha vipi sasa?kwani mfanyakazi mtongozaji ndo ana haki ya kuomba vocha?
angekuwa mshkaji sawa ningeona kawaida,ila siku zoote tuko kama strangers ni hi hi
kumbe mwenzangu anakufa kisabuni ,akaamua kuvunja ukimya
sasa ndo uniombe nikupigie na vocha juu!!
Hivi kuna mtu ananielewa kweli?au wote mnaona namfanyia mbaya????????
tehe! sijaanza bana... ila kuomba vocha wakati hujajua hata outcome ya hilo tongozo naona imekaaa vibaya:behindsofa:
Daaah
Lakin ukumbuke kwamba hakuna sehemu niliyotaja kazi hata moja ya kiume, ila wewe ukataja KUZAA kama kazi ya kike!!!!
Anyway niliache hilo maana ni kitu ambacho hata usawa uombwe au utafutwe vipi haitakuja hata siku moja mwanaume akazaa
So tusiongelee visivyowezekana.
hilo suala la sweetdada nilishalielewa kitambo, na wala sijatetea unless utaje wapi nimetetea.
Mimi hata mwanamke kuniomba vocha naweza nikaona ni kukosa ustaarabu pia. So ni kila mtu anaeleza kitu ambacho hakipendi na wala haijalishi ni jinsia gani. Yeye hakipendi namkubalia, na dawa ni amueleze wazi kwamba hapendi na aachane nae. Ikishindikana anaweza hata akaripoti kwa bosi wake kwamba mfanyakazi mwenzake ametumia nafasi ya kupeana namba za simu wafanyakazi kumfanyia abuse.
Ni rahisi tu dada, tatizo litaisha mara moja
tehe! sijaanza bana... ila kuomba vocha wakati hujajua hata outcome ya hilo tongozo naona imekaaa vibaya:behindsofa: