Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

Mwanaume kuiomba airtime voucher!!!!

wewe sweet sister ukimpa mtu kitu kwako ina maanisha nini ungekuwa umempenda ungeuliza hapa?au amekuwa msumbufu sababu hujampenda? sio wote wanapenda miteremko inawezekana anakupima WEWE HUWA HUOMBI VOCHER MWENZETU.

Inaelekea we ndo haohao tunaowaongelea mnapenda miteremko hali hamjakubaliwa na ndo mnajiharibia sasa mana mwanamke hawezi kukukubali kwa style hii.badilika kijana
 
Babu Asante
Afadhali umekuja mana watu wananiona mie nambania
mtu ndo kwanza anatongoza hapo hajakubaliwa ye anaanza na vibomu
inakuja kweli hii

Sasa mbona hujanipakulia kile chakula changu kikuu kiitwacho "Thanks"
 
Wanandugu wapendwa hope mu wazima..

Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga simu ataongea dakika tano afu ananambia"please call me back credit inaisha"...
hee!!mi nabaki kutoa macho huyu vipi??na mi namwambia hata mie yangu imeisha basi nikisema hivyo anaendelea kuongea..
cha kuchekesha leo asubuhi kanipigia tena simu kaongea mwisho akasema "nitumie vocha ya 2000 basi"..hee!!mi nikabaki mdomo wazi,nikamwambia sina hela..akakata simu.

Jamani nimeshangaa ajabu sijawahi kuona dunia nzima mwanaume anakuwa hivi especially akiwa anatongoza..huyu hata kama anataka kunifanya mie 'kitonga' si angesubiri basi akubaliwe..akaaa!!kani put off mnooo na kaniharibia siku yangu ya leo ..mxiiiiiii

Wanaume ndo mnaenda wapi kwa hii style jamani aii

HUYU KWELI KIMEO ,MWANZO TU ANAANZA KUKUOMBA VOCHA:smash: ...
 
wewe sweet sister ukimpa mtu kitu kwako ina maanisha nini ungekuwa umempenda ungeuliza hapa?au amekuwa msumbufu sababu hujampenda? sio wote wanapenda miteremko inawezekana anakupima WEWE HUWA HUOMBI VOCHER MWENZETU.

kuna style nyingi mwanaume anaweza kutumia kumpima 'target' wake ila si kubomu
mimi kama binadamu naomba vocha ila kwa mtu wa karibu to only
wacha kutete.KACHEMKA mtoto wa kiume
 
huna utu......huna staha.....huna adabu.....ndio niny mnaopigania haki sawa?......anakosa nini kukuommba voucha....wewe vipi?

kwa hii mipasho uliyoionyesha hapa sishangai ukitetea lazima una viji....... vya ke

wapendanao wanasaidiana......... umenishangaza kweli

wewe ndo umesema kweli...huyu ni mmoja wa kina dada ukimuoa uzee wako unakuwa wa manung'uniko.......hajampenda kwa dhat......na anayonyesha jisi gani alivyo.... ama kweli MIAFRICA NDIVYO ILIVYO!

kuna ile moja imemwagikiwa chai asubuhi......nikaweka stoo na kuvuta hiki kitu......kii bod yake bado mpyaaaa:focus:

umemuoaa huyu dada alivyo...maada ya ajabu kabisa hii

Inaelekea we ndo haohao tunaowaongelea mnapenda miteremko hali hamjakubaliwa na ndo mnajiharibia sasa mana mwanamke hawezi kukukubali kwa style hii.badilika kijana
Bora umemjibu maana nahisi kama namjua hivi ndio maana nimemstahi kidogo ila tu wajue wanakera wapiga mizinga isiyo na sababu za msingi haijalishi ni mwanamke au mwanaume
 
Edson taratibu naona hukuelewa kinachoongelewa naomba urudie kusoma mada tafadhali..
angekuwa mpendanao wangu nisingekuja jamvini kusema..ushanpata?
kijana ndo anatupa ndoano na nishamwambia simtaki nina wangu,lakini bado anaomba vocha na kunambia pls call me back
hapo nimekosea nini..
endelea kushangaa..

nimeisoma na kuielewa sana tu......hakuna sehemu yoyote hapo umesema kuwa umemwambia kuwa unae wako...ila kinachooneka ni wewe kuendekeza mawasiliano nae...kwa nini usimwabie aache kukusumbua kwa kuwa humtaki!!?
 
mwanamke kama hajakwambia ana wake wa ubani ndio iwe sababu ya wewe kumpiga kibomu? huna marafiki? huna ndugu? Huna watu wa karibu weye? mpaka uende ukamtongoze dada wa watu halafu umuombe vocha? nyinyi ndio wale wale tu
 
hahahhaha hii bomba sana, ki ukweli usimchukulie vibaya. Sie wanaume tuna njia nyingi za kuvunja ukimya, jaribu kutuma hiyo buku 2 yeye anaweza kujibu kwa buku 20
 
asante siku njema

kuna style nyingi mwanaume anaweza kutumia kumpima 'target' wake ila si kubomu
mimi kama binadamu naomba vocha ila kwa mtu wa karibu to only
wacha kutete.KACHEMKA mtoto wa kiume
 
Wanandugu wapendwa hope mu wazima..

Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga simu ataongea dakika tano afu ananambia"please call me back credit inaisha"...
hee!!mi nabaki kutoa macho huyu vipi??na mi namwambia hata mie yangu imeisha basi nikisema hivyo anaendelea kuongea..
cha kuchekesha leo asubuhi kanipigia tena simu kaongea mwisho akasema "nitumie vocha ya 2000 basi"..hee!!mi nikabaki mdomo wazi,nikamwambia sina hela..akakata simu.

Jamani nimeshangaa ajabu sijawahi kuona dunia nzima mwanaume anakuwa hivi especially akiwa anatongoza..huyu hata kama anataka kunifanya mie 'kitonga' si angesubiri basi akubaliwe..akaaa!!kani put off mnooo na kaniharibia siku yangu ya leo ..mxiiiiiii

Wanaume ndo mnaenda wapi kwa hii style jamani aii
huyo kidume kaingilia mlango wa kutokea mpishe ajiondokee atakuambukiza kisirani
 
hahahhaha hii bomba sana, ki ukweli usimchukulie vibaya. Sie wanaume tuna njia nyingi za kuvunja ukimya, jaribu kutuma hiyo buku 2 yeye anaweza kujibu kwa buku 20

Hiyo hata sio njia nzuri kabisa ni bora kabla hujamtongoza ndio angejaribu kumpigia simu na kumwambia samahani dada fulani nimeishiwa na vocha na nina simu ya muhimu nataka nipige naomba unitumie hiyo ingekua njia nzuri zaidi. Lakini ushaimbisha weeeeeeeeeeeeeeee umekataliwa unaamua kuomba vocha mwe!
 
Mhh, umeombwa vocha tu, tena ya buku mbili tu, kelele mpaka mtaa mzima tumesikia, ungeombwa 'jigijigi' si ungefungua kesi mahakamani kabisa?!
Nadhani naye hakujui vizuri. Kama unaweza kutangaza jambo dogo km hili, sidhani km unafaa kuwa hata Best friend forever.
 
Sisi tuliozaliwa zamani na kufuata misingi imara ya mamabu zetu:

1. Ni marufuku kumbomu binti bila kujali unatongoza au unachumbia
2. Binti akikupa hela kwa hiari yake wakati unamtongoza, unapaswa kuikataa ili kuuthibitisha uanaume wako
3. Ni marufuku kumwomba hata mkeo hela.....sanasana labda 'umkope kimagirini'

I mean mwanamke kumpa hela mwanaume enzi zetu ilikuwa ni udhalilishaji. Anachotakiwa mwanamke kumpa mwanaume ni vijizawadi bana, siyo hela.

Hivi hii thread tunajadili nini vile?

Basi mzee hii inatosha kabisa kuwaelimisha vijana wa siku hizi, eti mko restaurant mmemaliza kula na yeye ndio aliyekuomba out anakuuliza una shilingi ngapi wakati wa kulipa bili. si asingeomba out na wewe kabisa akasubiri muarange wote ndio mtoke, ahsante kwa kufafanua mkuu
 
Mhh, umeombwa vocha tu, tena ya buku mbili tu, kelele mpaka mtaa mzima tumesikia, ungeombwa 'jigijigi' si ungefungua kesi mahakamani kabisa?!
Nadhani naye hakujui vizuri. Kama unaweza kutangaza jambo dogo km hili, sidhani km unafaa kuwa hata Best friend forever.

Nimetangaza kutaka kujua kama ndio style ya wanaume siku hizi au ni huyu tu
ili nijue jinsi ya kukabiliana nao mana sijatongozwa siku nyingi ndo mana yawezekana mie mshamba
kwa style hiyo hata ubest frendi siuhitaji kwa kweli looh
ni sawa nikupm kukuomba urafiki ikiwa unasuasua we uniombe vocha hapo sikujua hata unapoishi unapenda nini hupendi nini
get serious bana hee!!

m out of here.
 
Basi mzee hii inatosha kabisa kuwaelimisha vijana wa siku hizi, eti mko restaurant mmemaliza kula na yeye ndio aliyekuomba out anakuuliza una shilingi ngapi wakati wa kulipa bili. si asingeomba out na wewe kabisa akasubiri muarange wote ndio mtoke, ahsante kwa kufafanua mkuu

Bora useme wewe maana
 
Wanandugu wapendwa hope mu wazima..

Hee!!nimeshangazwa na kitenndo cha mwanaume mmoja eti ananisumbua kwa muda wa mwezi kwa madai ananipenda..sasa cha kushangaza na ambacho sielewi..kila akipiga simu ataongea dakika tano afu ananambia"please call me back credit inaisha"...
hee!!mi nabaki kutoa macho huyu vipi??na mi namwambia hata mie yangu imeisha basi nikisema hivyo anaendelea kuongea..
cha kuchekesha leo asubuhi kanipigia tena simu kaongea mwisho akasema "nitumie vocha ya 2000 basi"..hee!!mi nikabaki mdomo wazi,nikamwambia sina hela..akakata simu.

Jamani nimeshangaa ajabu sijawahi kuona dunia nzima mwanaume anakuwa hivi especially akiwa anatongoza..huyu hata kama anataka kunifanya mie 'kitonga' si angesubiri basi akubaliwe..akaaa!!kani put off mnooo na kaniharibia siku yangu ya leo ..mxiiiiiii

Wanaume ndo mnaenda wapi kwa hii style jamani aii

Mbona ulivyokuwa ukitongozwa hujasema? wewe vipi? kama ulifika mpaka kumpa namba yako na kumsikiliza why kumpa voucher? wewe ungemuomba? kama mtu anakupigia kama credit inaisha means unamsikiliza kabisa na kumpa hope why not kumsaidia aendelee kukuimbisha kama nyimbo zake unazikiliza?
 
Back
Top Bottom