Yani usikariri kwa lazima mwanaume akufuate akiwa anajiamini ...kuna mwingine anakuelewa kiasi kwamba hata akiwa anaongea na ww anakua anatetemeka just bcoz anakupenda sana so ww ukijifanya unamkubalia mtu kutokana na principle zako hizo ulizo jiwekea unaweza ukakosa mtu sahihiKwahiyo nimkubalie tu eeh?
Your hiredHicho kikubwa sana. Uweka hazina utanitosha mkuu.
[emoji13] [emoji13]Labda hajakupenda jamani anakuja kula tu na kunywa sasa awahi kufanya nini [emoji16][emoji23][emoji23]
Hahhaahahaa. Ukihitaji msaada niko hapa mchumba
Mxxiuuew mbona mm mbebez wangu simfatilii kalikewa na nani wala kaquotuana na naniii utagombana na wangapi na kununiana naoTumesikia ila wivu muhimu bwana BAK. Mi mwenyewe siku nikiwa na bwana humu sitataka hata wanawake walike post zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Uje dar sasa huko umangani mbali sanaKaribu
Wala bwana sijampenda kimapenzi. Siwezi mazoea ya hivyo na mtu ninaefanya nae kazi.Yani usikariri kwa lazima mwanaume akufuate akiwa anajiamini ...kuna mwingine anakuelewa kiasi kwamba hata akiwa anaongea na ww anakua anatetemeka just bcoz anakupenda sana so ww ukijifanya unamkubalia mtu kutokana na principle zako hizo ulizo jiwekea unaweza ukakosa mtu sahihi
Wooooooooozeeeeeer nakazia kaka akee ni ujinga tu utanunia wangapiiiii we angalia unapendwa vipii wengi tungekuwa hivyo sijui ingekuwajeHii ni kwa wanawake pia ambao hawajiamini kwamba wanaweza kuwa na njemba mwenye muonekano au status A au B. Saa zote huwa na wasiwasi kwamba hapendwi na hata kuanza kujenga chuki dhidi ya KE wengine kisa tu ni
wasiwasi wake hao KE wengine wana mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wake. KUJIAMINI KWENYE PENZI NI MUHIMU SANA.
Akinitoa macho kapenda ila ntakua nshashiba na nauli nshachukua moyo mweupee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanza nakula nini au nakunywa nini hadi unitoe macho[emoji13] [emoji13]
We mzigua90 weee!
Njoo kula kunywa ukishiba basi useme tu sijakupenda!!
Gentleman atakuelewa na atakupa nauli nyingi urudi nyumbani.
Ila usiombee ukutane scopion atatoa hayo macho
Kujiamini kupendwa wakunyumba nimechanganya vyoteKwani na sie tunatongoza wakunyumba? Au kujiamini kupendwa?
Basi wanashida ila kuna mipaka kwenye iyo confidence sio kila mwanamke unamkulupukia tu mfano hawa kina wema kama huna ndululu hata uwe na confidence million hulambi kituWapo.
Fungua mlango tafadhaliVizungu bwana staki. Njoo tena
Sigombani na nyie jamani wakunyumba. Ntadeal na bwana tu. Nianze kukukasirikia Shunie kisa umemquote bwana angu inahusu? Siwezi sema pm ntakua najibu mwenyewe [emoji23][emoji23]Kaka akee hakuna majaribu yoyote inategemea na huyo mpenzi wako tu yuko na akili ya vipiMxxiuuew mbona mm mbebez wangu simfatilii kalikiwa na nani wala kaquotuana na naniii utagombana na wangapi