Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Wooooooooozeeeeeer nakazia dada ni ujinga tu utanunia wangapiiiii we angalia unapendwa vipii wengi tungekuwa hivyo sijui ingekuwaje
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakunyumba hii imetoka moyoni
 
Kwa kiasi Fulani umesema kweli,ila wakati mwingine
ninyi wadada mnazengua kwa kujidhania mpo
matawi ya juu wakati muda mnafuatwa
mambo yakishawachachia ndo mnawakumbuka
wale mliowadharau,wakati huo wameishayapatia
maisha ndo mnaanza kujuta.

Mi nakumbuka nilimtokea mdada wakati
nataka kuoa,na ndo nimeanza kazi
nadhani aliona siko njema kiuchumi akanitema.
Mimi niliendelea kujiamini nikaona poa yote maisha./
Nilipokuja kumpata ambaye ni mke wangu kwa sasa
maisha yakakubali,nikapata kazi kampuni
nyingine,tukajenga na kupata usafiri,yule bidada
matawi ya juu akakaa akaona siku zinaenda
akajisogeza kwa jamaa wakafunga ndoa
maisha aliyonayo sasa tukikutana anaona aibu
uzuri huwa ananiamkia,lakini naamini moyoni
huwa anajuta.
 
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.

acha jazzband....mwanaume kwa sasaili ajiamini ni lazima awe na mkwanja....hamna demu wa mujini atakubali kuvuliwa chupi na njemba inaganga njaa.
 
Basi wanashida ila kuna mipaka kwenye iyo confidence sio kila mwanamke unamkulupukia tu mfano hawa kina wema kama huna ndululu hata uwe na confidence million hulambi kitu

Zaidi ya vichambo tyu
Wala sio ndululu kujiamini tu. Nina rafiki angu wa kiume mjinga mjinga na kamla Wema. Tena siku ya kwanza wamekutana
 
Kwa kiasi Fulani umesema kweli,ila wakati mwingine
ninyi wadada mnazengua kwa kujidhania mpo
matawi ya juu wakati muda mnafuatwa
mambo yakishawachachia ndo mnawakumbuka
wale mliowadharau,wakati huo wameishayapatia
maisha ndo mnaanza kujuta.

Mi nakumbuka nilimtokea mdada wakati
nataka kuoa,na ndo nimeanza kazi
nadhani aliona siko njema kiuchumi akanitema.
Mimi niliendelea kujiamini nikaona poa yote maisha./
Nilipokuja kumpata ambaye ni mke wangu kwa sasa
maisha yakakubali,nikapata kazi kampuni
nyingine,tukajenga na kupata usafiri,yule bidada
matawi ya juu akakaa akaona siku zinaenda
akajisogeza kwa jamaa wakafunga ndoa
maisha aliyonayo sasa tukikutana anaona aibu
uzuri huwa ananiamkia,lakini naamini moyoni
huwa anajuta.
Mi sijasema hivyo mkuu. Wewe alikukataa labda kwa sababu zake sio umatawi jamani
 
Sigombani na nyie jamani wakunyumba. Ntadeal na bwana tu. Nianze kukukasirikia Shunie kisa umemquote bwana angu inahusu? Siwezi sema pm ntakua najibu mwenyewe [emoji23][emoji23]
Umeona eeenh huo ni ujinga na utoto deal na bwana tu leo unamkasirikia shunie kaquotina na bae wako kesho unamkuta sakayo kaquotina na bae wako unamnunia nae mwisho wa siku nusu ya wanawake wa jf wote umewanunia halafu mwisho wa siku huyo mwanaume mnakuja achana huyo ni akili au matope wanaume wenyewe wa jf hawa
 
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Aisee
 
Umeona eeenh huo ni ujina na utoto deal na bwana tu leo unamkasirikia shunie kaquotina na bae wako kesho unamkuta sakayo kaquotina na bae wako unamnunia nae mwisho wa siku nusu ya wanawake wa jf wote umewanunia halafu mwisho wa siku huyo mwanaume mnakuja achana huyo ni akili au matope wanaume wenyewe wa jf hawa
Ni ujinga kwa kweli. Jukwaani wala sina shida na nyie ila pm sasa sitaelewa.
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakunyumba hii imetoka moyoni
Yaan la moyoni kabisa hivi nianze kumnunia shemeji yako kwa kuqoutiana na wanawake wa jf au waliolikes post zake si nitawanunia wote sifanyagi huo ujinga nadeal nae yeye tu hao wengine watajua wenyewe huko
 
Back
Top Bottom