Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Front huu utani wa ngumi ujue tehteh

Cc Smart911
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakucheka kichinaaa!!!pole sana haifunguliwi

Naomba hizo data unazokusanya ziwe mbayaa umpate mbea akumbelike kisawasawa!

Na PM haifunguliwii!!!
Shunie PM sifingui hata unipeleke kwenye ofa ya mishikaki 100
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana shenzy wewe
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakucheka kichinaaa!!!pole sana haifunguliwi

Naomba hizo data unazokusanya ziwe mbayaa umpate mbea akumbelike kisawasawa!

Na PM haifunguliwii!!!
Shunie PM sifingui hata unipeleke kwenye ofa ya mishikaki 100

Unanikumbusha zile swaga za over my dead body siwezi kuwa naye!

Baadae mambo yanakuwa mengine.

All in all, mmesema tujiamini, it's what am trying to practice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…