Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Shida sio kujiamini, ni kipi kitakachokufanya ujiamini??...that's the point...Kijana wa kiume/Mwanaume focus kwenye kutengeneza maisha yako Swala la kujiamini lipo tu once you have something, mambo ya Zari la mentali siku hizi hamna, mapenzi ya ujanja ujanja, uwongo mwingi, Umarioo yamepitwa na wakati na ni kujizalilisha tu....and trust me utafanikiwa kuwin mwanzo but at the end of the day tegemea kuchokwa tu.
 
Wanawake bhana nao sijui wanakulaga maharage ya wapi, ile unaenda anza kuongea nae ye ashakusoma kuwa unajiamini au hujiamini hapo ndo nawashindwaga na ukianza kujiuma uma sijui degree, au engineering ndo utajuta unaweza hata kumsalimia....

hapa ndo nakuna kichwa na funguo zangu za BMW nianze na gia ipi kama sina habari nae kumbe moyoni nina yangiu mengi kwake, au nivae mawani ya rangii, unajua hata kama ukienda kwake na gari atakusoma confidence yako labda gari yako ndo iongee

wanawake muwe mna huruma ukiona watu wanajing'ata ng'ata jaribu kuwa waelewa jamani kuweni kama wazungu ukiongea nae kiingereza ashajua u achotaka utaskia its okey au got it asa nyie mashauzi mengi kama isha

thanks mtoa uzi sema nawe umezidi.....
 
ndo maana nakupendaga baby wangu
 
Hahahahaaa. Sina hata kimoja. Tofauti ni kwamba yeye ni dereva wa kampuni ingine tunafanya nayo kazi sasa na mimi niko upande mwingine wa kampuni basi ndo akajiona yeye ana kazi ya kawaida sababu ni driver wakati wote mishahara yetu tia maji tia maji
 
picha zako mbili kunogesha thread.
Weka zinazoonyeshe sexiest body le hips.
Nakuaminiaga sana..
Ila usiweke watakutolea mijicho hapa mabazazi wengi
Sasa unanichanganya. Kwahiyo niweke au nisiweke? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina maana ukimpenda Zari hutamtokea sababu huna pesa? Pesa zinatafuta ila mapenz yanachipukia popote na kwa yeyote. Usitumie kazi yako au sura yako kama kigezo cha kutompata unaemtaka wakati unamtongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…