Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
hahahaha sasa kama hamfanani asiseme?Sio kweli. Mwingine we boss wake lazima aogope. Mwingine akijiona kabisa hamlingani jamani. Huyu wa leo katoa kali eti kisa yeye dereva naweza nikamuona vipi ila ni kweli ananipenda. Mwingine nilimzimikia na mimi nikawa namzingua we unakaaje na mimi hata huongei akasema tu naogopa bwana we hatufanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha, kama unanisema mimi. nimeumbwa kumdekeza mwanamke kama mtoto mdogo, nikikutana na wewe nikikuzoea mara moja tu, hata siku moja, kama upo kwenye mahusiano itakuwia vigumu sana, ndio maana binafsi kwa muonekano sio handsome lakini wanawake niliodate nao ambao idadi ni kubwa sana, watu wanaonizunguka walikuwa wanashangaa napendewa nini. nafikiri Mungu kaniumbia icho kitu. wake za watu mara nyingi wananiambia wanatamani ningekuwa mume wao, lakin kwa sasa namdekeza tu my lovely wife mama watoto wangu, pamoja na kwamba hata wadada ninaofanya nao kazi aisee mimi tu nawakimbia nisijevunja nafsi ya mke wangu.Sanaa hasa ukimjulia. Kwa mfano hata dereva hashindwi kumtoa mtu lunch ya 5000 kwa mwezi mara moja. Hashindwi hata kubeba ice cream ya elfu 1. Sasa hapo kama mtu kakuelewa kwa vichache tu hivyo hawez kujali kazi maana umemuonyesha uanaume
Ukitaka kuongeza mke nitafute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha, kama unanisema mimi. nimeumbwa kumdekeza mwanamke kama mtoto mdogo, nikikutana na wewe nikikuzoea mara moja tu, hata siku moja, kama upo kwenye mahusiano itakuwia vigumu sana, ndio maana binafsi kwa muonekano sio handsome lakini wanawake niliodate nao ambao idadi ni kubwa sana, watu wanaonizunguka walikuwa wanashangaa napendewa nini. nafikiri Mungu kaniumbia icho kitu. wake za watu mara nyingi wananiambia wanatamani ningekuwa mume wao, lakin kwa sasa namdekeza tu my lovely wife mama watoto wangu, pamoja na kwamba hata wadada ninaofanya nao kazi aisee mimi tu nawakimbia nisijevunja nafsi ya mke wangu.
hahaha, kama unanisema mimi. nimeumbwa kumdekeza mwanamke kama mtoto mdogo, nikikutana na wewe nikikuzoea mara moja tu, hata siku moja, kama upo kwenye mahusiano itakuwia vigumu sana, ndio maana binafsi kwa muonekano sio handsome lakini wanawake niliodate nao ambao idadi ni kubwa sana, watu wanaonizunguka walikuwa wanashangaa napendewa nini. nafikiri Mungu kaniumbia icho kitu. wake za watu mara nyingi wananiambia wanatamani ningekuwa mume wao, lakin kwa sasa namdekeza tu my lovely wife mama watoto wangu, pamoja na kwamba hata wadada ninaofanya nao kazi aisee mimi tu nawakimbia nisijevunja nafsi ya mke wangu.Sanaa hasa ukimjulia. Kwa mfano hata dereva hashindwi kumtoa mtu lunch ya 5000 kwa mwezi mara moja. Hashindwi hata kubeba ice cream ya elfu 1. Sasa hapo kama mtu kakuelewa kwa vichache tu hivyo hawez kujali kazi maana umemuonyesha uanaume
Mimi naona kwa kiasi kikubwa siku hizi wanajali sana status ya mtu,,Nini hicho?
kama huyo si ulimchokoza ww? kwamba anakaaje naww hasemi kitu?Sasa waenda mtongozea nini mtu msofanana nae?
Hahahahahaha! Amekosa consideration hivi hivi!! Revise your decision for reconsideration plsHahahahaaa. Sina hata kimoja. Tofauti ni kwamba yeye ni dereva wa kampuni ingine tunafanya nayo kazi sasa na mimi niko upande mwingine wa kampuni basi ndo akajiona yeye ana kazi ya kawaida sababu ni driver wakati wote mishahara yetu tia maji tia maji
Wewe unajua huhusiki nao kabisa mchumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko single but not single single you know [emoji41][emoji41]
Nilimchokoza ila hata kama ananitamani hawezi. Mmoja aliniambia ameshatafuta hela amepata nimkubalie sasa. Sasa huyo si ndo wale wale wa sina hela au kazi nzuri ntakuweza wapikama huyo si ulimchokoza ww? kwamba anakaaje naww hasemi kitu?
Vibaya mnoo hawajui mapenzi moyo!Wanajihami.