Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya kujiamini eti.., hayeniSijari ntakuchek
Wenye dudu kubwaHata wanaojiuza hawakubali kila mteja
We ukatae ukweli tuSio kila pesa inalika.
ndo maana nakupendaga baby wanguWanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Hahahahaaa. Sina hata kimoja. Tofauti ni kwamba yeye ni dereva wa kampuni ingine tunafanya nayo kazi sasa na mimi niko upande mwingine wa kampuni basi ndo akajiona yeye ana kazi ya kawaida sababu ni driver wakati wote mishahara yetu tia maji tia majimzigua kwa namna ulivyompiga mkwara aliyekubeep asubuhi asubuhi; nawaza utakuwa kwenye kundi gani hapa; mwenye shape nzuri? Mwenye kazi nzuri? Kipato kikubwa? Mwenye umbo nzuri?! Shule ya haja? Hebu tujuze! Ukisema shape/umbo nzuri weka picha yako tafadhali!
Ina maana ukimpenda Zari hutamtokea sababu huna pesa? Pesa zinatafuta ila mapenz yanachipukia popote na kwa yeyote. Usitumie kazi yako au sura yako kama kigezo cha kutompata unaemtaka wakati unamtongoza.Shida sio kujiamini, ni kipi kitakachokufanya ujiamini??...that's the point...Kijana wa kiume/Mwanaume focus kwenye kutengeneza maisha yako Swala la kujiamini lipo tu once you have something, mambo ya Zari la mentali siku hizi hamna, mapenzi ya ujanja ujanja, uwongo mwingi, Umarioo yamepitwa na wakati na ni kujizalilisha tu....and trust me utafanikiwa kuwin mwanzo but at the end of the day tegemea kuchokwa tu.