Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Kuna nyaku nyaku humu wasikuone upo na mbebez wako mxxieew
Yaniiiiiii mpaka nilimwambiaga, Smart911 naomba uwakule tu kwakweli wewewewewewewewe smart alitaka kunipiga ngwala moja hio eti acha upimbi mahondaw.. Nilikimbiajee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuja kurudi badaeee akanikumbatia kwa nguvu kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
upo sawa chief...lkn hilo la kwenda kwa mwanamke ukiSeek her sympath and pity ni kujishushia hadhi ya uanaume,

Wanawake mara nyingi ndio wanatumia hiyo technique, mwanaume ni mwanaume tu asee hata kama ni konda wa daladala ukimfata kiume lazima akuelewe hata kama hatokubali.
 
kuStart Convo na mwanamke huwa inategemea na aina ya mwanamke, mazingira mliyopo na muda ambao mpo...japo kuna zile basic points tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…