Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaniiiiiii mpaka nilimwambiaga, Smart911 naomba uwakule tu kwakweli wewewewewewewewe smart alitaka kunipiga ngwala moja hio eti acha upimbi mahondaw.. Nilikimbiajee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kuna nyaku nyaku humu wasikuone upo na mbebez wako mxxieew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikuona au may be sikufatilia shoga angu!
Nilivyokua na uchu ningesonga na ugali nirumagie
Eti ni kweli?!Kwi kwi kwi kwi LoL!
Hahahah kaka angu we utakuwa hufatilii kabisa pmMie nitafeli hata nikipewa majibu hahahaha LoL!
Ndio hivyo tena [emoji3]Kweli ujue au ndo hvyo tena[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huo nimetolea mfano tu jamani mbebez wake mahondaw usiogope [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaniiiiiii mpaka nilimwambiaga, Smart911 naomba uwakule tu kwakweli wewewewewewewewe smart alitaka kunipiga ngwala moja hio eti acha upimbi mahondaw.. Nilikimbiajee [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuja kurudi badaeee akanikumbatia kwa nguvu kweli
upo sawa chief...lkn hilo la kwenda kwa mwanamke ukiSeek her sympath and pity ni kujishushia hadhi ya uanaume,[emoji23][emoji23][emoji23]Sio suala la kuleta hayo masuala ya kulia lia ili uonewe huruma
uhalisia wa mambo ndiyo utakao kufanya uchokwe na huyo mwanamke
kwa asilimia kubwa wanawake wazuri huwa wanahitaji kugharamiwa ukiwa upo nyuma nyuma kwa masuala ya kucare ndiyo hapo wengine wanakuzidi kete
Ni bora upate unayeendana nae tu hao wengine ni stress
Kweli nn dada jamani halafu mbona mmerudi wote pamojaEti ni kweli?!
Mmmxxxiiiiiiuuuuuuukutongozwa ya hadharani kwani ina shida gani mkuu mbona mimi huwa namtongozaga Miss Natafuta waziwazi hapa jukwaani au ndiyo maana simpati nini??!
kuStart Convo na mwanamke huwa inategemea na aina ya mwanamke, mazingira mliyopo na muda ambao mpo...japo kuna zile basic points tu.Jamani eti nakutana na mwanamke siku ya kwanza naanza tu kumwambia "nakupenda" bila hata kumsifia sifia jinsi alivyo eti kwa kuwa umesema niende kwenye point hiyo hapana
ngoja nika google nipate muongozo " how to start conversation with beautful girl ntapata nyingi tuu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] mi ndrukiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HahahaKweli nn dada jamani halafu mbona mmerudi wote pamoja
[emoji122][emoji122][emoji122]Me naaminigi hivyo tu always,hata mwanamke awe vipi au ni nani,I can get her..kujiamini ni muhimu sanaa
Hahahaa, hapo poaNtamfikiria
Nimeacha mm jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mkashauriana mrudi jukwaaniHahaha
Tulikuwa pm hukoo tunaandika thread..