Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Hahahahaa.. nimezidi nini tena mimi?
 
We ukatae ukweli tu
Msichana yuko tayari kuvumilia kila kitu ili mradi pesa anapata hili liko kwenu wote wasichana
Tunatofautiana. Mimi sikai kwenye mateso kisa pesa. Labda kama sina uwezo wa kutafuta pesa
 
Mzigua acha uongo mimi nije sina hela, shati langu limepauka navaa kila siku hilo hilo nimevaa viatu Vya mtumba vya mwaka 2002 afu unikubalie, confidence huwa inakuja na reason kwa mfano una archievements flan
Sasa unanitongoza nini wakati we mwenyewe unaona kabisa utakula za uso?
 
Wanaume wengi hutumia haka kamsemo ooo wewe hata sio hadhi yangu maana anataka kula na kusepa ili asingizie we sio hadhi yake kumbe wala sio mkaaji wala hana mapenzi yoyote,wana gia sana,mwanaume akikupenda hata uweje hawezi ogopa
 
katika maisha yangu sijawahi kubabaika katika hilo eneo, na huwa sipepesi macho. pamoja na kwamba gestures huwa zinatangulia lakini kwenye kumalizia mstari wa mwisho sijawahi kutoka kapa. mwanamke ni kiumbe rahisi sana.
 
Sio kweli. Mwingine we boss wake lazima aogope. Mwingine akijiona kabisa hamlingani jamani. Huyu wa leo katoa kali eti kisa yeye dereva naweza nikamuona vipi ila ni kweli ananipenda. Mwingine nilimzimikia na mimi nikawa namzingua we unakaaje na mimi hata huongei akasema tu naogopa bwana we hatufanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
katika maisha yangu sijawahi kubabaika katika hilo eneo, na huwa sipepesi macho. pamoja na kwamba gestures huwa zinatangulia lakini kwenye kumalizia mstari wa mwisho sijawahi kutoka kapa. mwanamke ni kiumbe rahisi sana.
Sanaa hasa ukimjulia. Kwa mfano hata dereva hashindwi kumtoa mtu lunch ya 5000 kwa mwezi mara moja. Hashindwi hata kubeba ice cream ya elfu 1. Sasa hapo kama mtu kakuelewa kwa vichache tu hivyo hawez kujali kazi maana umemuonyesha uanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…