Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaa.. nimezidi nini tena mimi?Wanawake bhana nao sijui wanakulaga maharage ya wapi, ile unaenda anza kuongea nae ye ashakusoma kuwa unajiamini au hujiamini hapo ndo nawashindwaga na ukianza kujiuma uma sijui degree, au engineering ndo utajuta unaweza hata kumsalimia....
hapa ndo nakuna kichwa na funguo zangu za BMW nianze na gia ipi kama sina habari nae kumbe moyoni nina yangiu mengi kwake, au nivae mawani ya rangii, unajua hata kama ukienda kwake na gari atakusoma confidence yako labda gari yako ndo iongee
wanawake muwe mna huruma ukiona watu wanajing'ata ng'ata jaribu kuwa waelewa jamani kuweni kama wazungu ukiongea nae kiingereza ashajua u achotaka utaskia its okey au got it asa nyie mashauzi mengi kama isha
thanks mtoa uzi sema nawe umezidi.....
Sasa unanitongoza nini wakati we mwenyewe unaona kabisa utakula za uso?Mzigua acha uongo mimi nije sina hela, shati langu limepauka navaa kila siku hilo hilo nimevaa viatu Vya mtumba vya mwaka 2002 afu unikubalie, confidence huwa inakuja na reason kwa mfano una archievements flan
katika maisha yangu sijawahi kubabaika katika hilo eneo, na huwa sipepesi macho. pamoja na kwamba gestures huwa zinatangulia lakini kwenye kumalizia mstari wa mwisho sijawahi kutoka kapa. mwanamke ni kiumbe rahisi sana.Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
saa hivi niko huru baby wangu,, leo nitakuja na zawadi tafadhali nipokeeBby umetekwa jamani
hahahahaha umewaza nje ya boxWanaume wengi hutumia haka kamsemo ooo wewe hata sio hadhi yangu maana anataka kula na kusepa ili asingizie we sio hadhi yake kumbe wala sio mkaaji wala hana mapenzi yoyote,wana gia sana,mwanaume akikupenda hata uweje hawezi ogopa
Unawajua wanaume wewe waongooo baadhi yaohahahahaha umewaza nje ya box
Sio kweli. Mwingine we boss wake lazima aogope. Mwingine akijiona kabisa hamlingani jamani. Huyu wa leo katoa kali eti kisa yeye dereva naweza nikamuona vipi ila ni kweli ananipenda. Mwingine nilimzimikia na mimi nikawa namzingua we unakaaje na mimi hata huongei akasema tu naogopa bwana we hatufanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wengi hutumia haka kamsemo ooo wewe hata sio hadhi yangu maana anataka kula na kusepa ili asingizie we sio hadhi yake kumbe wala sio mkaaji wala hana mapenzi yoyote,wana gia sana,mwanaume akikupenda hata uweje hawezi ogopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kweli. Mwingine we boss wake lazima aogope. Mwingine akijiona kabisa hamlingani jamani. Huyu wa leo katoa kali eti kisa yeye dereva naweza nikamuona vipi ila ni kweli ananipenda. Mwingine nilimzimikia na mimi nikawa namzingua we unakaaje na mimi hata huongei akasema tu naogopa bwana we hatufanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani lina shida gani? au wewe umehisi nini?Hilo kanisa lako
Sanaa hasa ukimjulia. Kwa mfano hata dereva hashindwi kumtoa mtu lunch ya 5000 kwa mwezi mara moja. Hashindwi hata kubeba ice cream ya elfu 1. Sasa hapo kama mtu kakuelewa kwa vichache tu hivyo hawez kujali kazi maana umemuonyesha uanaumekatika maisha yangu sijawahi kubabaika katika hilo eneo, na huwa sipepesi macho. pamoja na kwamba gestures huwa zinatangulia lakini kwenye kumalizia mstari wa mwisho sijawahi kutoka kapa. mwanamke ni kiumbe rahisi sana.