[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisha miliki HR wangu kwa kujiamini tu, alikuwa anajikubali sana kwa ushapu wangu.
Mara nimpelekee matunda, mara nimsindikize shopping.
Mwisho wa siku tunapiga zetu wine nikatunukiwa kitumbua safi kabisaa.
Mtoto akawa addicted sana na mm, hata mshahara nikawa siutumii sana.
Nilikuja kuvuruga baada ya yeye kupekua simu yangu na kukuta nasakamwa na kikosi kizima cha yanga, kila mmoja anamalalamiko yake.
Na mapenz yakafa.
KhaaaaaaaWanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Pole mkuu, mimi huwa nakula kwanza ndiyo nalipia chakulaBasi kaa nayo
Ukimaliza kuongea, utaniimbia karaoke!.Naongea.
Lazima nilipie tu, halafu mpaka naingia hiyo restaurant ujue lazima ntakipenda na kukifurahia chakula chake hata kiwe ukokoAaah. Chakula kikiwa kibaya je?
Nipo naendelea kupata elimu dunia(informal education) mamii.Nini bae?
Ukilewa sauti inakuwa nzuri tu!!..Ningekua na sauti nzuri ningekuimbia ila ndo vilee
Dom wapi? Area A, B, C, D. Kisasa, chinangali, chamwino, uzunguni, Mnadani, mailimbili, ipagalaNaishi Dodoma mkuu
sura yangu mbayaa lakini nikipiga maji najiona PhD huyu hapa!.. We unatumia maji gani yasiyobadiri sauti sasa!?..Iwe nzuri nitambe mkuu
Nimeishi na kusoma area c, but now nipo chuga/ Moshi. Plenty memories there, mlimwa shule ya msingi, kiwanja cha ndege, uwanja wa vijana, huo mlima kwa Prime Minister nimeupanda sana before huo mjengo.Area C