Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

hahahaha sasa kama hamfanani asiseme?
 
Sanaa hasa ukimjulia. Kwa mfano hata dereva hashindwi kumtoa mtu lunch ya 5000 kwa mwezi mara moja. Hashindwi hata kubeba ice cream ya elfu 1. Sasa hapo kama mtu kakuelewa kwa vichache tu hivyo hawez kujali kazi maana umemuonyesha uanaume
hahaha, kama unanisema mimi. nimeumbwa kumdekeza mwanamke kama mtoto mdogo, nikikutana na wewe nikikuzoea mara moja tu, hata siku moja, kama upo kwenye mahusiano itakuwia vigumu sana, ndio maana binafsi kwa muonekano sio handsome lakini wanawake niliodate nao ambao idadi ni kubwa sana, watu wanaonizunguka walikuwa wanashangaa napendewa nini. nafikiri Mungu kaniumbia icho kitu. wake za watu mara nyingi wananiambia wanatamani ningekuwa mume wao, lakin kwa sasa namdekeza tu my lovely wife mama watoto wangu, pamoja na kwamba hata wadada ninaofanya nao kazi aisee mimi tu nawakimbia nisijevunja nafsi ya mke wangu.
 
Ukitaka kuongeza mke nitafute [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaa. Sina hata kimoja. Tofauti ni kwamba yeye ni dereva wa kampuni ingine tunafanya nayo kazi sasa na mimi niko upande mwingine wa kampuni basi ndo akajiona yeye ana kazi ya kawaida sababu ni driver wakati wote mishahara yetu tia maji tia maji
Hahahahahaha! Amekosa consideration hivi hivi!! Revise your decision for reconsideration pls
 
Wewe unajua huhusiki nao kabisa mchumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Yaani ningekuta kuna dialled kwenda kwako ningeifuta fasta.

Ila we naye umezidi uzuri, punguza kidogo watu wapate confidence bana.
 
kama huyo si ulimchokoza ww? kwamba anakaaje naww hasemi kitu?
Nilimchokoza ila hata kama ananitamani hawezi. Mmoja aliniambia ameshatafuta hela amepata nimkubalie sasa. Sasa huyo si ndo wale wale wa sina hela au kazi nzuri ntakuweza wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…