Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Ungekua umeoa kiislam ungeniongeza jamani. Ila mwanamke anaanzaje kusema eti sio hadhi yangu. Atakua malaika huyo basi
 
Hii ni kwa wanawake pia ambao hawajiamini kwamba wanaweza kuwa na njemba mwenye muonekano au status A au B. Saa zote huwa na wasiwasi kwamba hapendwi na hata kuanza kujenga chuki dhidi ya KE wengine kisa tu ni
wasiwasi wake hao KE wengine wana mahusiano ya kimapenzi na mpenzi wake. KUJIAMINI KWENYE PENZI NI MUHIMU SANA.

 
sawa mzee, we kwenda, huwa sibishani na wanaume manake utanipa nini, bora kwenye suala hili nijibizane na wanawake ambao wanaweza kunipatia kitu, kwani wewe una nini cha kutoa?
Anakizungua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanajamii mmeniona wapi jamani? Umeanza uongo sasa eeh.
 
Tumesikia ila wivu muhimu bwana BAK. Mi mwenyewe siku nikiwa na bwana humu sitataka hata wanawake walike post zake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…