Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Hahaaa kujiamini hakukuji hivihivi, kuna sababishwa na mambo mengi, sasa kama hayo mambo mwanaume hana usitegemee ajiamini from vapour hahaa
 
Back
Top Bottom