Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pm yangu haina madhara!!
Sasa kama kakangu ana madhara gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka hana madhara kwel na mie ndo niwe wifi ako sasa.
Imebidi niulize labda kahuckiwa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sakayo kumbe ni kama sisi tuSakayo usimsingizie wala hayuko hivyo vya utakatifu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitafurahi niondokane na hii hali ya vyuma kukazaNtakumeza wakunyumba.
KwakweliItakua kunae mtu anatumia simu yake
WoyoooooooooooKwa Sakayo🙂🙂
Hamia siasani ila nahisi tutakupotezaaaUsinifanyie hivyo jamani na mm nataka beer
Hahaaa kujiamini hakukuji hivihivi, kuna sababishwa na mambo mengi, sasa kama hayo mambo mwanaume hana usitegemee ajiamini from vapour hahaaWanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Komaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi naacha
EwaaaaaBasi ndugu naacha. Ukiachana nae namuomba basi
HahahaKheeeee dada ni wewe ndio unaandika au kuna mtu anakuandikia
KhaaaaKaka hana madhara kwel na mie ndo niwe wifi ako sasa.