Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNimeona wifii nimetoswa mazima mie
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] Nimeacha
Aibu naona mieNa nimekubaliana na uamuzi ndugu.
Jamani
Asanteni kwa kampani yenu aki, huwa naenjoy kweli kuwa nanyi!! Yo my real family!!
BAK yo always be my beloved kaka no matter what!!! Always know dat, n take care of yourself for me!!
So, you are either super beautiful or super rich.... Congrats ladyWanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Sema kweli mzee wa bucket
Thanks muchI know that Sakayo there is no need to worry to about us. You’re a very special lady in so many ways and always down to earth. I admire your good spirit and positive attitude.
Mngh!Hahaha
Pole mwaya
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aibu naona mie
Vipi mpendwaMngh!
Nakusabahi mpendwaVipi mpendwa
Sijambo mimiNakusabahi mpendwa
Asante mpendwaSijambo mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kumkula kaka ako mwenyeweSitaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DonAfadhali...
WooooooooozeeeerI know that Sakayo there is no need to worry to about us. You’re a very special lady in so many ways and always down to earth. I admire your good spirit and positive attitude.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wivu sio wa nchi hiiHalafu siku hizi nafurahi nikiangalia PM nakuta zimefungwa, najua amani ipo.
Tubaki wachache wenye kuweza kuwa-PM.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mngh!
Asante mpendwa
Sijambo mimi
Nakusabahi mpendwa
HallelujahVipi mpendwa