Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Mwanaume Kujiamini ni Silaha Tosha Kwenye Mahusiano

Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.


Ni kweli....ila kuna wengine tunatongozwa bila kutegemea na ni raha kweli kutongozwa na mwanamke. Yaani utakuta mwanamke anakuwa na wasiwasi mpaka na wengine wanalia kwa kuhofia kukataliwa. Sijawahi kumkatalia mwanamke anayenitongoza ila natumia busara tu kuwasepa nisiowataka.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!!shunie na huyu don uchwara hamna akili nyote

Shunie shunie!bebi wangu anaona ujue!!utanitafutia balaa miye!ntaishije mjini hapa!!
Sio Don uchwara huyo mzee wa bucket mwambie babe hapa ni chit chat asijali jamani
 
Tatizo lenu tukija kichwa kichwa mnatupiga za uso na mizinga juu, ndo maana inabid tutie huruma
 
Back
Top Bottom