Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wembamba hawaonelewi sana kama sisi wanene. Yani sisi wanene ndo tuna shida. Mmoja huyo alianza bby kama upungue hivi nikamwambia bby kwani wembamba hukuwaona huko unapopita pita? Aliishia kucheka [emoji23][emoji23][emoji23]
Tangu lini nikatae vitu adimuNikikupa utachukua?
Sa ngapi?Basi leo nakupa si unaona hali ya hewa hii
AiseeeSasa hivi.
Hahahahaha you know Kuna watu have got something extra ee mpaka unajiuliza hivi nilichelewa wapi mimi??? ila humu nishawazoea miye Kuna baadhi ya watu wanakushauri kama wemaaaaa.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bwana ona wivu kwanza wivu ni sunnah kwenye mahaba
Wee nenda kazini.Sasa hivi.
Asew unatunyapia nyapia nini?Aiseee
Kwa Lile paja lol... UnatamanishajeeeeWembamba hawaonelewi sana kama sisi wanene. Yani sisi wanene ndo tuna shida. Mmoja huyo alianza bby kama upungue hivi nikamwambia bby kwani wembamba hukuwaona huko unapopita pita? Aliishia kucheka [emoji23][emoji23][emoji23]