Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji126][emoji126][emoji126][emoji4][emoji4][emoji4]Uje nikupe na mtoto eeh
Nakujaa unipe mm, such a nice gift [emoji9]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji126][emoji126][emoji126][emoji4][emoji4][emoji4]Uje nikupe na mtoto eeh
Tatizo lako unashindwa kujamiana na jamii yako inayokuzungukaYaap wapo hao wanaotumia kama kigezo ila si woteHili la kwako linanikuta sana Mimi wananiogopa mpk najishtukia my dear na hivi naishi uswazi ndo looh!
Najikuta nakaa naishi na ugwadu wangu tu!na siwezi kujitongozesha basi daahh!napambana tu hali ilivyo!!
Kuna mtu pale kitaa nimemzoea as a friend kuna siku walimuuliza umemzoaje yule dada[emoji23] [emoji23] mtu wenyewe miye mbuzi tuu sina lolote!
Naam shem[emoji23][emoji23][emoji23] shem
[emoji41] [emoji41] [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo yapo kwenye bongo movie tu.Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda hata uwe muokopa makopo atakukubalia. Ukiwa unapiga sound usianze kutumia maneno ooh najua mimi sio level yako we mzuri sana wewe una kipato kunizidi wewe this wewe that blah blah. Nenda kwenye point sio kuanza kujilalamisha uonewe huruma. Mwanaume ukijiamini hata uweje utapata mwanamke unaemtaka. Kazi yako au muonekano wako hauhusiani na mapenzi yako.
Natamani huyu kaka alonipigia simu saa hizi asome hapa maana hata kama nilipanga kumkubali basi tena keshanikosa.
Tusubiri mwingine aje na stori yake kamla CEO wao kwa kujiamini.Nilisha miliki HR wangu kwa kujiamini tu, alikuwa anajikubali sana kwa ushapu wangu.
Mara nimpelekee matunda, mara nimsindikize shopping.
Mwisho wa siku tunapiga zetu wine nikatunukiwa kitumbua safi kabisaa.
Mtoto akawa addicted sana na mm, hata mshahara nikawa siutumii sana.
Nilikuja kuvuruga baada ya yeye kupekua simu yangu na kukuta nasakamwa na kikosi kizima cha yanga, kila mmoja anamalalamiko yake.
Na mapenz yakafa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tusubiri mwingine aje na stori yake kamla CEO wao kwa kujiamini.
Wewe unaweza kumkubali muokota makopo? At the same time unataka mwanaume who can pay the bills? Kwa kuokota makopo.....?
Kama nimempenda hata angekuaje ningemdate.Wewe unaweza kumkubali muokota makopo? At the same time unataka mwanaume who can pay the bills? Kwa kuokota makopo.....?
Kupenda kwa namna hio kupo bongo movie au kwa vi teenager.
Utakua una kitu tunakipenda wewe.
Umeuona wapi Smart wa Mahondaw? [emoji23][emoji23]
Basi mie sijakua bado.Kupenda kwa namna hio kupo bongo movie au kwa vi teenager.
Umeuona wapi Smart wa Mahondaw? [emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app