Mwanaume kujiliza liza kha!

Mwanaume kujiliza liza kha!

Usimsingizie mtoa mada....amesema WANAUME MNAOJILIZA,hiyo ina maana wapo wasiojiliza.....na mimi nawajua baadhi tu waliokuwa na tabia hiyo....hoja ya ku-support ya nini.....hivi vitu vipo,jibuni hoja kwa hoja si kutafuta mazingira ya ku under estimate hoja....hatuhitaji story ndefu wakati ujumbe ni ule ule.....HAIPENDEZI MWANAUME KUJILIZA.....PERIOD!

nimeona...lakini kuna baadhi yetu hatujawahi kusikia stori kama hizi ndo maana nimemwambia aje na ushahidi
 
Mwambie straight aliyekupiga mzinga, sio unakuja hapa JF, una uhakika huyo bwanako anakuja hapa?
After all si mnapendana...iweje utafute usuluhishi kwetu, si myamalize chumbani kwenu?

Hata wewe kaka unatema povu la hivi du!

jamani wanaume waombajiombaji wamejaa tele mwaya sarafina bora ulivyosema na wanakeraje?
 
usimsingizie mtoa mada....amesema wanaume mnaojiliza,hiyo ina maana wapo wasiojiliza.....na mimi nawajua baadhi tu waliokuwa na tabia hiyo....hoja ya ku-support ya nini.....hivi vitu vipo,jibuni hoja kwa hoja si kutafuta mazingira ya ku under estimate hoja....hatuhitaji story ndefu wakati ujumbe ni ule ule.....haipendezi mwanaume kujiliza.....period!

kwa nini uje kulialia hum jf? Akikuomba mwambie palepale au unamuogopa?. Kama kweli wewe ni mwanamke jasiri mwambie huyo omba omba, lakini hapa mi naona ni crap!!
 
Yaani hata ambao huwezi wadhania wamekuja juu kha hata siamini

hata kweny mahusinao baadhi yao wako hivyo,ukikosea atasema weweee ukisema wewe kibao kinageuka....ni zama za ukweli na uwazi...kama umekereka LEAVE SARAFINA ALONE.....:alien::alien:
 
nimeona...lakini kuna baadhi yetu hatujawahi kusikia stori kama hizi ndo maana nimemwambia aje na ushahidi

Mpendwa acha kutuzuga eti hujawahi kusikia stori za hivi, wako wengi tena sana tu hawaoni hata aibu yani, jaribu kuuliza uliza utasikia yakayokushangaza zaidi ya hili
 
Nilifikiri kujiliza liza wakati wa mechi............. kweli nimeamini kujiliza ina maana nyingi...........
 
Hata wewe kaka unatema povu la hivi du!

jamani wanaume waombajiombaji wamejaa tele mwaya sarafina bora ulivyosema na wanakeraje?

haha wewe unafanya mchezo nini? labda mtu ndio katoka tu kufanya hii kitu mida hio hio kaja JF anaikuta stori kama hii unafikiri ataacha kupiga mikelele? hahah
 
kwa nini uje kulialia hum jf? Akikuomba mwambie palepale au unamuogopa?. Kama kweli wewe ni mwanamke jasiri mwambie huyo omba omba, lakini hapa mi naona ni crap!!

Hakuna mkimbizwa mbio bana kama unaona ni crap si ukae kimya? potezea tu, wako wengi bana na wanakera sana sarafina kaongea hapa ili wenye hizo tabia wakome wajue zinakera sana tena sana.

Hahahahaha sarafina umewashika mariooooooooooooooooooo pabaya lol nimechekaje mie mwe!
 
kwa nini uje kulialia hum jf? Akikuomba mwambie palepale au unamuogopa?. Kama kweli wewe ni mwanamke jasiri mwambie huyo omba omba, lakini hapa mi naona ni crap!!

he he he....kwani we kuona kwamba ni crap hii thread inafutika? who are you kwamba ukiiona crap tujali? thread imejifunga au kupotea kwa wewe kuona crap???? kuzoea kulia lia ushamuona Sarafina nae analia....ujasiri si kumuambia yule alokosea tu bali kusema kwa wengine pia,haipendezi kulia lia ovyo.....kimekuuma sana naona...jibebe!!:yawn::yawn:
 
haha wewe unafanya mchezo nini? labda mtu ndio katoka tu kufanya hii kitu mida hio hio kaja JF anaikuta stori kama hii unafikiri ataacha kupiga mikelele? hahah

Hahahaha ivuga, hii thread imenichekesha kuliko leo
 
Nilifikiri kujiliza liza wakati wa mechi............. kweli nimeamini kujiliza ina maana nyingi...........

Hehehehehe lol kujiliza wakati wa mechi tena leo jf mmeamua kutuvunja mbavu kweli
 
Mpendwa acha kutuzuga eti hujawahi kusikia stori za hivi, wako wengi tena sana tu hawaoni hata aibu yani, jaribu kuuliza uliza utasikia yakayokushangaza zaidi ya hili

ok. asante! ila mi sioni tatizo kama kweli mnapendana kusaidiana, ila suala la kulia, hiyo ni kitu kingine tena..
 
he he he....kwani we kuona kwamba ni crap hii thread inafutika? who are you kwamba ukiiona crap tujali? thread imejifunga au kupotea kwa wewe kuona crap???? kuzoea kulia lia ushamuona Sarafina nae analia....ujasiri si kumuambia yule alokosea tu bali kusema kwa wengine pia,haipendezi kulia lia ovyo.....kimekuuma sana naona...jibebe!!:yawn::yawn:

Kibatani cha senks hakuna leo wala cha like, leo wamekabwa koo inasikitisha inaonyesha wenye hiyo tabia ni wengi
 
umewashika pabaya yaani hap mimi tu ndio nina credit🙂🙂

Ndo maana nakupenda Ivuga, wape wape eeeeeeeeeee vidonge vyao,wakimeza wakitema ni shauri zao!!

Big Up Sarafina na Ivuga kwa kuunga mkono hoja!
 
Ndo maana nakupenda Ivuga, wape wape eeeeeeeeeee vidonge vyao,wakimeza wakitema ni shauri zao!!

Big Up Sarafina na Ivuga kwa kuunga mkono hoja!

Kumbe nawe kupasha unaweza eeeeh? Angalia hiyo midege hapo....mikuubwa hiyo
 
Back
Top Bottom