Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimsingizie mtoa mada....amesema WANAUME MNAOJILIZA,hiyo ina maana wapo wasiojiliza.....na mimi nawajua baadhi tu waliokuwa na tabia hiyo....hoja ya ku-support ya nini.....hivi vitu vipo,jibuni hoja kwa hoja si kutafuta mazingira ya ku under estimate hoja....hatuhitaji story ndefu wakati ujumbe ni ule ule.....HAIPENDEZI MWANAUME KUJILIZA.....PERIOD!
Mwambie straight aliyekupiga mzinga, sio unakuja hapa JF, una uhakika huyo bwanako anakuja hapa?
After all si mnapendana...iweje utafute usuluhishi kwetu, si myamalize chumbani kwenu?
Wanawake wa Bongo wengi ombaomba lakini wakiombwa wao Keleleeeeeeeee. Kazi kweli kweli. na nyie mjitegemee kazi si mnafanya.?
usimsingizie mtoa mada....amesema wanaume mnaojiliza,hiyo ina maana wapo wasiojiliza.....na mimi nawajua baadhi tu waliokuwa na tabia hiyo....hoja ya ku-support ya nini.....hivi vitu vipo,jibuni hoja kwa hoja si kutafuta mazingira ya ku under estimate hoja....hatuhitaji story ndefu wakati ujumbe ni ule ule.....haipendezi mwanaume kujiliza.....period!
Hehehehehe habari yake mariooooooooo, hebu ngoja tarudi dearest sarafina lol
Yaani hata ambao huwezi wadhania wamekuja juu kha hata siamini
nimeona...lakini kuna baadhi yetu hatujawahi kusikia stori kama hizi ndo maana nimemwambia aje na ushahidi
Hata wewe kaka unatema povu la hivi du!
jamani wanaume waombajiombaji wamejaa tele mwaya sarafina bora ulivyosema na wanakeraje?
kwa nini uje kulialia hum jf? Akikuomba mwambie palepale au unamuogopa?. Kama kweli wewe ni mwanamke jasiri mwambie huyo omba omba, lakini hapa mi naona ni crap!!
kwa nini uje kulialia hum jf? Akikuomba mwambie palepale au unamuogopa?. Kama kweli wewe ni mwanamke jasiri mwambie huyo omba omba, lakini hapa mi naona ni crap!!
marioo tena wa lubumbashi.
Yaani hata ambao huwezi wadhania wamekuja juu kha hata siamini
haha wewe unafanya mchezo nini? labda mtu ndio katoka tu kufanya hii kitu mida hio hio kaja JF anaikuta stori kama hii unafikiri ataacha kupiga mikelele? hahah
Nilifikiri kujiliza liza wakati wa mechi............. kweli nimeamini kujiliza ina maana nyingi...........
Mpendwa acha kutuzuga eti hujawahi kusikia stori za hivi, wako wengi tena sana tu hawaoni hata aibu yani, jaribu kuuliza uliza utasikia yakayokushangaza zaidi ya hili
he he he....kwani we kuona kwamba ni crap hii thread inafutika? who are you kwamba ukiiona crap tujali? thread imejifunga au kupotea kwa wewe kuona crap???? kuzoea kulia lia ushamuona Sarafina nae analia....ujasiri si kumuambia yule alokosea tu bali kusema kwa wengine pia,haipendezi kulia lia ovyo.....kimekuuma sana naona...jibebe!!:yawn::yawn:
umewashika pabaya yaani hap mimi tu ndio nina credit🙂🙂
Ndo maana nakupenda Ivuga, wape wape eeeeeeeeeee vidonge vyao,wakimeza wakitema ni shauri zao!!
Big Up Sarafina na Ivuga kwa kuunga mkono hoja!