Mwanaume kujiliza liza kha!

Mwanaume kujiliza liza kha!

Nashangaa wanaume humu ndani nanyi mwaunga mkono hii hoja labda kama mpo hivyo. Huyu dada anamzungumzia mume/boyfriend wake, kama anashida hiyo si amweleze kuliko afike huku kulalamika. Yawezekana huyu dada amezoea kuchuna tu sasa anapoona ameishiwa na hana jinsi ndo anaanza kulalamika. Mabinti shida yenu mnajua kupokea tu mlio wengi hamjui kutoa, hata mkitoa mnahonga ili umwibie mumeo ndoa yake. Achen kulalama, mara nyingi mnalalamikiwa pamoja mnamishahara unakuta bado mwanaume anatoa kila kitu we hata mshahara wako haujulikani unafanyia nin. Jaman tuoneeni huruma na sisi ni watoto wa wanawake wezenu, sis ni binadamu. Utajisikiaje niende kuomba kwa mtu mwingine hitaji lolote ambalo ww unaweza nisaidia na mwisho wa siku ananikwida kwa kushindwa kulipa kwa tena mbele yako, au niibe ili kukuonyesha kuwa ninahela kumbe za kuiba na mwisho nikamatwe pengine niuawe au nifungwe nikukose. Uliyeweka thread hii plz rudi kwa huyo alikufanyia hivyo na ukaombe msamaha kwani umemkosea. Mbona nyiny mkitongozwa tu cku ya kwanza unaanza kuomba hela siku hiyohiyo na hatusemi, ebu achen kujilegeza. Hivi najiuliza lipi bora kusema ukweli au kuongopa? Ila niliwahi sikia kuwa mapenz ya ujanja ujanja na uongo ndo yanadumu ingawa kwangu mim imekuwa kinyume chake. Huyu dada naona amezoea kudanganywa ndo maana anapoambiwa ukweli hana labda hela au the like basi anaona analia lia. Ukiona mtu mzima analia uje kuna jambo, jaman hata hii mwanadada hujafikilia. Maisha kusaidiana haijaandikwa mwanaume amsaidie mwanamke tu. Naomba kuwasilisha kama nimkwaza yeyote naomba msamaha.
 
Hata wewe kaka unatema povu la hivi du!

jamani wanaume waombajiombaji wamejaa tele mwaya sarafina bora ulivyosema na wanakeraje?

Mamamkwe na wewe una changia ushuzi kama huu?
 
Nashangaa wanaume humu ndani nanyi mwaunga mkono hii hoja labda kama mpo hivyo. Huyu dada anamzungumzia mume/boyfriend wake, kama anashida hiyo si amweleze kuliko afike huku kulalamika. Yawezekana huyu dada amezoea kuchuna tu sasa anapoona ameishiwa na hana jinsi ndo anaanza kulalamika. Mabinti shida yenu mnajua kupokea tu mlio wengi hamjui kutoa, hata mkitoa mnahonga ili umwibie mumeo ndoa yake. Achen kulalama, mara nyingi mnalalamikiwa pamoja mnamishahara unakuta bado mwanaume anatoa kila kitu we hata mshahara wako haujulikani unafanyia nin. Jaman tuoneeni huruma na sisi ni watoto wa wanawake wezenu, sis ni binadamu. Utajisikiaje niende kuomba kwa mtu mwingine hitaji lolote ambalo ww unaweza nisaidia na mwisho wa siku ananikwida kwa kushindwa kulipa kwa tena mbele yako, au niibe ili kukuonyesha kuwa ninahela kumbe za kuiba na mwisho nikamatwe pengine niuawe au nifungwe nikukose. Uliyeweka thread hii plz rudi kwa huyo alikufanyia hivyo na ukaombe msamaha kwani umemkosea. Mbona nyiny mkitongozwa tu cku ya kwanza unaanza kuomba hela siku hiyohiyo na hatusemi, ebu achen kujilegeza. Hivi najiuliza lipi bora kusema ukweli au kuongopa? Ila niliwahi sikia kuwa mapenz ya ujanja ujanja na uongo ndo yanadumu ingawa kwangu mim imekuwa kinyume chake. Huyu dada naona amezoea kudanganywa ndo maana anapoambiwa ukweli hana labda hela au the like basi anaona analia lia. Ukiona mtu mzima analia uje kuna jambo, jaman hata hii mwanadada hujafikilia. Maisha kusaidiana haijaandikwa mwanaume amsaidie mwanamke tu. Naomba kuwasilisha kama nimkwaza yeyote naomba msamaha.

Ndo maana mimi nika iita mipasho ya facebook
 
Well said brother!!!
nashangaa wanaume humu ndani nanyi mwaunga mkono hii hoja labda kama mpo hivyo. Huyu dada anamzungumzia mume/boyfriend wake, kama anashida hiyo si amweleze kuliko afike huku kulalamika. Yawezekana huyu dada amezoea kuchuna tu sasa anapoona ameishiwa na hana jinsi ndo anaanza kulalamika. Mabinti shida yenu mnajua kupokea tu mlio wengi hamjui kutoa, hata mkitoa mnahonga ili umwibie mumeo ndoa yake. Achen kulalama, mara nyingi mnalalamikiwa pamoja mnamishahara unakuta bado mwanaume anatoa kila kitu we hata mshahara wako haujulikani unafanyia nin. Jaman tuoneeni huruma na sisi ni watoto wa wanawake wezenu, sis ni binadamu. Utajisikiaje niende kuomba kwa mtu mwingine hitaji lolote ambalo ww unaweza nisaidia na mwisho wa siku ananikwida kwa kushindwa kulipa kwa tena mbele yako, au niibe ili kukuonyesha kuwa ninahela kumbe za kuiba na mwisho nikamatwe pengine niuawe au nifungwe nikukose. Uliyeweka thread hii plz rudi kwa huyo alikufanyia hivyo na ukaombe msamaha kwani umemkosea. Mbona nyiny mkitongozwa tu cku ya kwanza unaanza kuomba hela siku hiyohiyo na hatusemi, ebu achen kujilegeza. Hivi najiuliza lipi bora kusema ukweli au kuongopa? Ila niliwahi sikia kuwa mapenz ya ujanja ujanja na uongo ndo yanadumu ingawa kwangu mim imekuwa kinyume chake. Huyu dada naona amezoea kudanganywa ndo maana anapoambiwa ukweli hana labda hela au the like basi anaona analia lia. Ukiona mtu mzima analia uje kuna jambo, jaman hata hii mwanadada hujafikilia. Maisha kusaidiana haijaandikwa mwanaume amsaidie mwanamke tu. Naomba kuwasilisha kama nimkwaza yeyote naomba msamaha.
 
Naona sarafina anaongelea kizazi kipya masharobaro sidhan kwa mwanaume wa kawaida anaweza kulialia bila sababu. Na kupigana taf ni kawaida kwenye mahusiano. Sasa hao masharobaro ndio tatizo . Wamejaa kila kona me kuna shost mmoja aligonga lunch na kijana mwisho kaka anamuuliza mdada una laki hapo ntakupa jioni bank card yangu ime expire. Bidada akampa . Basi ikawa ni story hzo hizo bi dada kammwaga.
 
Nashangaa wanaume humu ndani nanyi mwaunga mkono hii hoja labda kama mpo hivyo. Huyu dada anamzungumzia mume/boyfriend wake, kama anashida hiyo si amweleze kuliko afike huku kulalamika. Yawezekana huyu dada amezoea kuchuna tu sasa anapoona ameishiwa na hana jinsi ndo anaanza kulalamika. Mabinti shida yenu mnajua kupokea tu mlio wengi hamjui kutoa, hata mkitoa mnahonga ili umwibie mumeo ndoa yake. Achen kulalama, mara nyingi mnalalamikiwa pamoja mnamishahara unakuta bado mwanaume anatoa kila kitu we hata mshahara wako haujulikani unafanyia nin. Jaman tuoneeni huruma na sisi ni watoto wa wanawake wezenu, sis ni binadamu. Utajisikiaje niende kuomba kwa mtu mwingine hitaji lolote ambalo ww unaweza nisaidia na mwisho wa siku ananikwida kwa kushindwa kulipa kwa tena mbele yako, au niibe ili kukuonyesha kuwa ninahela kumbe za kuiba na mwisho nikamatwe pengine niuawe au nifungwe nikukose. Uliyeweka thread hii plz rudi kwa huyo alikufanyia hivyo na ukaombe msamaha kwani umemkosea. Mbona nyiny mkitongozwa tu cku ya kwanza unaanza kuomba hela siku hiyohiyo na hatusemi, ebu achen kujilegeza. Hivi najiuliza lipi bora kusema ukweli au kuongopa? Ila niliwahi sikia kuwa mapenz ya ujanja ujanja na uongo ndo yanadumu ingawa kwangu mim imekuwa kinyume chake. Huyu dada naona amezoea kudanganywa ndo maana anapoambiwa ukweli hana labda hela au the like basi anaona analia lia. Ukiona mtu mzima analia uje kuna jambo, jaman hata hii mwanadada hujafikilia. Maisha kusaidiana haijaandikwa mwanaume amsaidie mwanamke tu. Naomba kuwasilisha kama nimkwaza yeyote naomba msamaha.

Pole sana DR. Uko miongoni mwa victims?
 
Maty;1871155]Mpendwa acha kutuzuga eti hujawahi kusikia stori za hivi, wako wengi tena sana tu hawaoni hata aibu yani, jaribu kuuliza uliza utasikia yakayokushangaza zaidi ya hili

Wanaume wa wapi hao omba omba? Mnawatowa wapi? Hawana kazi ni wanafunzi au? Kama ana kazi, pesa yake anapeleka wapi mpaka akuombe wewe mdada ...... Labda na wadada wanaoombwa na wao walikuwa wanapiga mizinga kwa hiyo kibao kimegeuka (acha kulalamika). Hii inategemea mnaishi vipi katika mahusiano yenu. Maana kuna wadada wengine hata kma ana kazi nzuri bado anataka kupiga mizinga tu...
 
Pole sana DR. Uko miongoni mwa victims?

Mimi wala si victim na nimishi na wife wangu. Bahati tu sijawahi pata mwanamke wakunichuna, nilitafuta na nikapata wife wakusaidiana sio kama Sarafina wa kulalamika. Naishi maisha poa.
 
Michelle;1871269]he he he he wajiona wa maana sana kushindwa kumtimizia demu wako mahitaji yake? mwanaume suruali kweli wewe, unajiona ulifanya la maana sana kuondoka.....ungemwambia huna uwezo....inavyoonekana unapenda vya bure, nyie ndo wale mnataka hata hela ya kitanda guest na kondom mlipiwe na boxer mnunuliwe.....ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa.....unalo!! Sarafina hajakataa mwanaume asiombe,ila kuwe na kiasi,si kila kukicha unaomba tu....heshima inashuka...ushalobaro umezidi,usitake kufananisha Sarafina na mlupo wako wa bei chee unaoomba hata betri....yeye Sarafina anaombwa na wanaume si yeye anaomba! Uache tabia hiyo!

Kwani yeye ndo alimpangisha kwenye hiyo nyumba? Atapangaje nyumba kama hana uwezo wa kulipia pango au ndo kuishi kwa kutegemea kuomba bf alipia...... Ningesema ni sawa yeye(BF) kulipia pango kama ni baba wa familia (MUME)lakini kama ni urafiki tu pengine hamna future yoyote nadhani ni vema mdada alipe pango mwenyewe....... unless hana kazi (na kwa nini apange nyumba kama hawezi kujihudumia?)

marioo tena wa lubumbashi.

Wanakuwa Marioo kwa sababu nyie ndo mnaofuga hizo tabia...... msilalame hapa wakiwaomba huko. Maana huwezi kukaa na mtu kwa mda bila kutomjuwa tabia yake kuwa hana uwezo wa kuwa baba wa familia (Hawezi kuhudumia). Pengine ndo tabia ya wadada kujidai wanajuwa ku-provide ili kuwateka wakaka (kitu ambacho akiwezekani ku-control mtu awe wako peke yako). Kwa hiyo mtowa mada asilalame anamjuwa vema B/F wake kitabia waendelee tu, kama inamkela hiyo tabia atafute ambaye siyo omba omba.
 
darkred]Michelle;1871392]Then umfuate mama yako umuoe na kuwa na uhusiano nae wa kimapenzi.....hakuna anayechuna hapa,tunachunwa na wapenda bure kama wewe.....maskini kama wewe nani akuchune,huo mlupo ulioenda kuuchukua barabarani usiokuwa na hela hata ya betri ya simu usitake kufanya ni kila mtu.....you are cheap ndo maana kwanza kakuomba vitu vya bei che.....wenye hela hawaombwi hela ya betri wala kodi za nyumba,wanaombwa wajenge/wanunue nyumba na kununua simu mpya bora zaidi.....ha ha ha haaaaaaaaaa....jibebe na umaskini wako,ukiona vyaelea ujue vimeundwa babu,we subiri kuundwa tu as hutaki kuunda!

Nilikuwa sijui Michelle kama una maneno makali namna hiyo ....lol!
 
marioo tena wa lubumbashi.

Wanakuwa Marioo kwa sababu nyie ndo mnaofuga hizo tabia...... msilalame hapa wakiwaomba huko. Maana huwezi kukaa na mtu kwa mda bila kutomjuwa tabia yake kuwa hana uwezo wa kuwa baba wa familia (Hawezi kuhudumia). Pengine ndo tabia ya wadada kujidai wanajuwa ku-provide ili kuwateka wakaka (kitu ambacho akiwezekani ku-control mtu awe wako peke yako). Kwa hiyo mtowa mada asilalame anamjuwa vema B/F wake kitabia waendelee tu, kama inamkela hiyo tabia atafute ambaye siyo omba omba.

kuna wanaume wachunaji pia mkuu!!
 
kuna wanaume wachunaji pia mkuu!![/I]

Hiyo siyo tabia ya mwanaume halisi, ukikutana na wa hivyo basi ujuwe hana upendo wowote bali kukutumia tu. Ukiishiwa basi ujue anatafuta mdada mwingine wa kumtunza (tabia za kike hizi). Ukimpata wa hivyo basi soma alama za nyakati .....hafai kuwa hata baba

Wanaume mnaojiliza liza kama wanawake mnaboa sana, mnapiga mizinga kiasi kwamba mmetuzidi mpaka wanawake, mwanaume kama huna hela unatakiwa uonyeshe kwa vitendo na si kujiliza liza kama mmama, jikaze wewe mtoto wa kiume. Uko wapi uanaume wenu? mwakera sana ati

Huna lolote kila siku unapiga mizinga unasaidiwa, leo umepigwa wewe mzinga unalalama ovyo hilooooo
 
Sio wanaume wote ila, limeanza kuibuka kundi la wababa kazi yao akiwa na mpenzi basi kazi yake ni kupiga mizinga tu bila aibu, na hii tabia inaonekana kukua sana

Hapa ndipo nawashangaaga sana wanawake, Wanaume walipokuwa wanaombwa/kupigwa mizinga nyie mkaenda Beijing kudai hata nyie mnaweza kupigwa mizinga, wanaume wakakubali hilo na wakatokea wa kuwapiga mizinga sasa mnalalamika

hivi mnataka nini hasa, maana mmekuwa kama mkia wa mbuzi, hauvichi mk*ndu wala haufukuzi nzi upo upo tu
 
Ndugu kumbuka walioenda Beijing ni proportion tu ya wanawake wa kipindi hiko. Wengine, pengine wanaolalamika hapa walikuwa wadogo au hata hawajazaliwa.

Any way, kazi ya mwanaume ni kuprovide kwa familia au familia to be. Naamini katika nature, kuwa siwezi kuwa sawa na mwanaume hata siku moja. Hivyo majukumu ya mwanaume yafanywe na mwanaume na ya mwanamke yafanywe na mwanamke (ingawa sina ushahidi maalum wa majukumu ya kike ni yapi na ya kiume ni yapi). Mwanaume atakaposaidia jukumu la mwanamke ni mapenzi, na mwamake anakaposaidia jukumu la mwanaume ni kwa mapenzi tu.
 
Back
Top Bottom