Mwanaume kumbuka we ni wa thamani

Mwanaume kumbuka we ni wa thamani

Wanaume, kumbukeni kwamba ninyi ni tuzo. Usiruhusu mwanamke yeyote akufanye ujihisi mdogo. Hapa kuna baadhi ya sababu tano za kukukumbusha thamani yako:

1. Ukweli kwamba mwanamume anaweza kuoa wake wengi katika tamaduni fulani inaonyesha kwamba wewe ni wa thamani. Kinyume chake, wanawake kuoa waume wengi ni nadra na haikubaliki sana.

2. Wanaume huwa na kuhitajika katika ulimwengu wa mahusiano kwa muda mrefu kuliko wanawake. Ukuu wa mwanamume huanza katika miaka yake ya mapema ya 30, wakati thamani yake huanza wakati wa kubalehe. Wanaume wanavyozeeka, wanakuwa wa kuvutia zaidi, ilhali mvuto wa wanawake unapungua kadiri umri unavyoongezeka.

3. Wanaume pekee ndio wenye uwezo wa kuamua kuwepo au kutojitoa katika mahusiano yoyote. Wanawake, kwa upande mwingine, mara nyingi hutafuta mahusiano ya kudumu na nwanaume. Ndio maana ni rahisi kwa mwanaume kupata wanawake kuliko mwanamke kupata ahadi ya mwanaume.

4. Wanaume mara nyingi husifiwa kwa ushindi wao wa kijinsia, wakati wanawake huhukumiwa kwa tabia sawa. Undumilakuwili huu unadhihirika kwa jinsi wanaume mara nyingi wanavyokuwa wakali kwa watoto wao wa kike kuliko watoto wao wa kiume.

5. Wanawake wengi wanatamani kupata mwanamume aliye tayari kuwaoa. Ni hamu ya kila mwanamke kuwa mke siku moja, asikudanganye mtu, wasiotamani wengi wana miaka 25 na kuendelea na pia hawana mvuto. Ukiangalia makutano ya makanisa, utaona wanawake wengi wakiombea mume kuliko wanaume wanaoombea mke.

Hiyo ni kwa sababu wanaume ndio zawadi, na hakuna haja ya wao kuomba. Kwa kuwa sasa unajua thamani yako, usimrahisishie mwanamke yeyote. Ana bahati kuwa na wewe, si vinginevyo. Kumbuka, idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ile ya wanaume, na Biblia hata inataja wakati ambapo wanaume wawili au watatu watamwomba mwanamume awaoe. Kwa hivyo, mwambie s|mp amwambie s|mp mwingine aache kumpa mwanamke thamani kuliko yeye kwa sababu yeye ni wa thamani.

Na Abion.
Barikiwa mkuu.
 
Wewe ni simp. Kutwa kuwaza ngono.
Unaweza kuwa na thamani hata bila kuwa na mwanamke.
Mwanaume wa thamani anafahamu kusudi lake. Yesu alikuwa wa thamani sana bila kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake, alikuwa na msimamo na hakuyumbishwa.
Yesu alikuwa na thamani sana sawa, lakini alizaliwa Kwa kupitia tumbo la mwanamke tena bila kujamihiana , kama mwanamke hana thamani Mungu angemleta Kwa njia nyingine na kwanini Mungu asingemtolea Kwa mwanaume
 
Yaani wanaume huwa wanajishusha wenyewe, mtu anamiaka zaida 40 lakini kila anachofanya anapeleka Kwa mama yake na dada zake badala ya kujadili na mkewe sasa hapo akimuona mbulula atalaumiwa kweli? Na unakuta hao kina dada hawajulikani ni vichaa au wagonjwa, sasa hapo mwanaume utakuta anamsinhizia mkewe!
 
Kumtumia mwanamke sio ishu, fikiria, Yule ambaye anaitwa Mwokozi na Wakristo, Mungu aliamua Yesu azaliwe akiwa na jinsia ya kiume na si ya kike. Ndo ujue Mungu anavyothamanisha uanaume maana Yesu hakuwa mwanamke. Mwanamke alitumika kusaidia kuzaliwa kwake kuwezekane.
 
Yaani wanaume huwa wanajishusha wenyewe, mtu anamiaka zaida 40 lakini kila anachofanya anapeleka Kwa mama yake na dada zake badala ya kujadili na mkewe sasa hapo akimuona mbulula atalaumiwa kweli? Na unakuta hao kina dada hawajulikani ni vichaa au wagonjwa, sasa hapo mwanaume utakuta anamsinhizia mkewe!
Kuna mwanaume mwenye hekima na mwanaume mpumbavu ila maarifa ya mwanaume haishushi thamani yake, kwasababu anaweza akaoa mwanamke mwingine na akapendwa ila mwanamke wa umri wake akabaki kuwa single mom au mke mwenza.
 
Kinachonifurahisha ni kwamba siku hizi hata wanawake nao wameanza kuamka na kutambua thamani yao, wameshatoka kwenye zile propaganda walizokuwa wanalishwa bibi zetu hadi kuamini kwamba mwanamke si kitu kwenye hii dunia, tatizo linakuja pale wanawake nao wanapoamka na kujitambua mayowe na matusi yanakuwa mengi toka upande wa pili
 
Yesu alikuwa na thamani sana sawa, lakini alizaliwa Kwa kupitia tumbo la mwanamke tena bila kujamihiana , kama mwanamke hana thamani Mungu angemleta Kwa njia nyingine na kwanini Mungu asingemtolea Kwa mwanaume
Mkuu haya ni mambo ya rohoni zaidi, tukizama sana tutatoka nje ya mada. Emb tujikite ktk mada. Mtoa mada kila anachozungumza ktk huu uzi ni LULU.
 
Kinachonifurahisha ni kwamba siku hizi hata wanawake nao wameanza kuamka na kutambua thamani yao, wameshatoka kwenye zile propaganda walizokuwa wanalishwa bibi zetu hadi kuamini kwamba mwanamke si kitu kwenye hii dunia, tatizo linakuja pale wanawake nao wanapoamka na kujitambua mayowe na matusi yanakuwa mengi toka upande wa pili
Mkuu thread zingine kubali tu zikupite bila kutia neno.

Asante.
 
Kinachonifurahisha ni kwamba siku hizi hata wanawake nao wameanza kuamka na kutambua thamani yao, wameshatoka kwenye zile propaganda walizokuwa wanalishwa bibi zetu hadi kuamini kwamba mwanamke si kitu kwenye hii dunia, tatizo linakuja pale wanawake nao wanapoamka na kujitambua mayowe na matusi yanakuwa mengi toka upande wa pili
Mwanamke mwenye thamani ni bikra tu.
Wasio bikra hawana thamani yeyote hata kama ameolewa.
 
Mwanamke mwenye thamani ni bikra tu.
Wasio bikra hawana thamani yeyote hata kama ameolewa.
Hiyo ni kwa mujibu wa kanuni gani ya kiulimwengu, ambayo inaamua kwamba mwanaume yeyote tu ana thamani, ila mwanamke thamani yake ni hadi awe bikira
 
Hiyo ni kwa mujibu wa kanuni gani ya kiulimwengu, ambayo inaamua kwamba mwanaume yeyote tu ana thamani, ila mwanamke thamani yake ni hadi awe bikira
Ni kanuni ya kiasili.
Mwanamke anapotolewa ubikra, inaleta hali fulani ya kisaikolojia ya kuwa bega kwa bega na mwanaume aliyekutana naye kwa mara ya kwanza, na inakuwa vigumu kusaulika. Kama mwanaume huyo akimfanyia ukatili na wakaachana, inamuathiri kisaikolojia na hapo itakuwa vigumu kuunganika na mwanaume mwenye thamani, namaanisha mwanaume mwema. Kwasababu ya trauma za kimahusiano, bikra inabaki kuwa kitu cha thamani mno ambacho mwanamke amepewa bure.
 
Kwanza kabisa jifunze kutofautisha kati ya nature na social constructs, ulichokisema wewe siyo kanuni ya asili bali ni mtazamo wa jamii nyingi toka enzi na enzi kwamba binti kamwe hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa bikira, na mara nyingi mitazamo fulani ikishajengeka kwenye jamii husika ikadumu vizazi hadi vizazi basi hiyo mitazamo huanza kuchukuliwa kama ndio asili lakini kumbe ilitengenezwa na watu kama sisi tu

Mimi binafsi nimeshakutana na wanawake kadhaa ambao wanakiri kwamba walishawasahau wanaume waliowatoa bikira na wala hawana mapenzi nao kabisa, na hata hivyo hilo suala la kuchukulia bikira kwa uzito haliko kwenye jamii zote duniani labda kama hujatembeatembea kwenye nchi za watu, nimegundua hizo imani kwa asilimia kubwa zipo kwenye baadhi ya jamii za africa na asia na ndio maana nikakuambia uniambie ni kanuni gani ya kiulimwengu inayoamua kwamba thamani ya mwanamke iko kwenye bikira yake tu na si kitu kingine chochote

Sasa wewe unaniambia kuhusu mitazamo ya baadhi ya jamii kwani mitazamo ya jamii fulani ndio kanuni za asili, ili jambo liwe kanuni ya asili halitakiwi kuwa subjective bali linatakiwa kuwa objective kwa maana kwamba uwepo wake hautakiwi kutegemea mitazamo binafsi ya watu, yani watu wa jamii zote duniani wanatakiwa naturally wawe na utambuzi juu ya hiyo kanuni bila kuathiriwa na external factors kama gender stereotypes nk
 
Back
Top Bottom