Mwanaume Kumpata Mwanamke Kimapenzi Ni Ujanja au Kaonewa Huruma tu

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Nimetafakari Sana Kama ni uwezo wa Mwanaume kumhadaa mwanamke hadi akamkubali au mwanamke tu ndio akikubali ndio mambo yanaenda fresh, Kwa jinsi Matukio ya Maisha yaendavyo nimeona Mengi yanavyotokea kwa Watu. Kwani kuna Mwanamme anatongoza hata miaka kadhaa ndio anafanikiwa au anakosa kabisa.

Kwa upande wangu nadhani Mwanamke ndio Muamuzi ya Yote Hata ukitumia Tricks za aina gani yeye akikubali ndio inakuwa bien
 
Kwa upande wangu nadhani Mwanamke ndio Muamuzi ya Yote Hata ukitumia Tricks za aina gani yeye akikubali ndio inakuwa bien

Sawia kabisa! Pasipo na shuruti (shurti) basi mwanamke ndiye huwaga mwenye uamuzi wa mwisho ikija kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Fikiria tu kwa mathalan, mwanamke mwenye mvuto wa kawaida kwa siku anatokewa mara ngapi? Sasa umewahi kujiuliza kama wale wote ambao wanatesti zali wangekuwa wanakubaliwa ingekuwaje? Si ingekuwa balaa!?

Lakini hayo yote hayatokei kwa sababu mwanamke anachagua nani wa kulala naye na nani wa kumpotezea. Ila ikumbukwe pia kwamba wapo wanawake wasiojua kusema hapana. Ma mama huruma. Siyo kwamba wanamkubalia kila mwanaume anayewatokea, la hasha. Ni kwamba katika wale wote ambao wanamtokea, anaowakubalia ni wengi zaidi ya wale anaowakatalia.

Sasa msije mkanikomalia kuwa nimeyajuaje yote hayo na mniombe ushahidi. Yote haya yanatokana na tajiriba yangu ya maisha kwani kila mtu ana yake na wengi wetu tuna hadithi kadhaa za kusimulia.
 
Ujanja wa mwnaume hua unachangia tu ila sio sababu kamili ya mwanamke kukubali au kukataa.Ningekua sijachoka ningejibu kwa kirefu...mida!
 
Lizzy umechoka au unaogopa kujimwaga hapa wajanja wa jf a town wakakumaliza?
mi sipo A town npm hilo jibu kwa kirefu ili niongeze maujanja .Plz plz plz plz plz!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanawake wa siku hizi asilimia kubwa hawajui kukataa na hasa unapokuwa na tripple C. Namaanisha
1. Cash
2. Car na
3. Cellular Phone.
 
Sio siri wanawake ndio wanacontrol haya mambo akikupa kapenda tu wala si ujanja wako. unless uwe umemrubuni kwa influence flani.
 
Huwa namheshimu sana mwanamke anaponipa kifirigisi chake nijishebedue na kujiliwaza na kutua mzigo wangu, na hata nilioachana nao nimeachana na sijawahi kuwahi kuwakebehi wala kuwatusi
 
Ujanja wa mwnaume hua unachangia tu ila sio sababu kamili ya mwanamke kukubali au kukataa.Ningekua sijachoka ningejibu kwa kirefu...mida!

Lazima kuna ujanja ambao mwanamme huu-induce some feelings kwa mwanamke ili am-feel na hapo mwanamke hupata mhemko wa kumhitaji bila hivyo tusinge ambulia kitu hapo
 
Lakini kwanaza tukubaliane kuwa wanawake huwa wanavigezo vyao wanavyotaka toka wa mwanaume ingawa ni siri yao na vinabadilikabadilika so ukivipatia tu ujue umefanikiwa au siyo lizy
 
Nakubaliana na wewe Mkuu!

 
Huwa namheshimu sana mwanamke anaponipa kifirigisi chake nijishebedue na kujiliwaza na kutua mzigo wangu, na hata nilioachana nao nimeachana na sijawahi kuwahi kuwakebehi wala kuwatusi

Mkuu hapo umenena kupewa ile kitu ni priviledge kama kuwa na leseni marekani - wakitaka wanaweza kukunyagany'a saa yoyote au kui suspend. Hata mimi huwa nawaheshimu sana wachuchu wanaonizawadia ile priviledge- especially mamsap wangu wa hapa JF
 
Mimi binafsi siamini kama ni suala la huruma au tricks,nachoamini mimi ni hisia ndizo zinacontroll mahusiano hivyo mwanamke anapomkubali mwanaume kiukweli anakuwa ameanza kuwa na hisia nae na si vinginevyo.sasa wewe njoo na tricks zako halafu umkute mwanamke hana hisia kabisa juu yako hakyanani utaimba haleluya ila kwa mapenzi ya siku hizi unaweza kukubaliwa tu ili uchunwe mwisho wa siku adabu ikukae!huku wee ukijiona mjanja kwa tricks zako!
 
Haha Kama Kweli! 🙂
 
Wanawake wa siku hizi asilimia kubwa hawajui kukataa na hasa unapokuwa na tripple C. Namaanisha
1. Cash
2. Car na
3. Cellular Phone.
Mmmhh!,...... are u serious na hiyo namba 3?
Maana mimi namiliki duka la Cellular phone!!
 
<br />
<br />
ingekuwa hivyo basi mapenzi yangekuwa ya wanaume tu.
 
<br />
<br />

Wewe unasema nini? Ujanja wa kidume una part kubwa sana. Kwanini viwembe ndio huchukuaga mizigo daily? Najua hata wewe utakua unakifahamu kidume kimojawapo kuwa huyo ukienda nae ligi kwa mwanamke yeyote yeye anakua na chance kubwa zaidi ya kung'oa mzigo. Huamini?
 
Mtu ambae ni kiwembe hiyo ni sehemu ya kazi,...........mtu makini ngono ni tendo tu lakutimiza human nature, lakini sio unakwenda kuoga bafuni na kuvaa nguo za sikukuu kwenda kuwinda mabinti, mtu wa namna hiyo kwa dunia ya leo ni mshamba tu.
By the way umalaya ni gharama sana kwa sisi watoto wa mjini, maana kila kidate inabidi uspend minimum shilling 100,000/=
Kumbuka mambo ni hotel siku hizi na sio nipe nikupe Guest house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…