Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
Nimetafakari Sana Kama ni uwezo wa Mwanaume kumhadaa mwanamke hadi akamkubali au mwanamke tu ndio akikubali ndio mambo yanaenda fresh, Kwa jinsi Matukio ya Maisha yaendavyo nimeona Mengi yanavyotokea kwa Watu. Kwani kuna Mwanamme anatongoza hata miaka kadhaa ndio anafanikiwa au anakosa kabisa.
Kwa upande wangu nadhani Mwanamke ndio Muamuzi ya Yote Hata ukitumia Tricks za aina gani yeye akikubali ndio inakuwa bien
Kwa upande wangu nadhani Mwanamke ndio Muamuzi ya Yote Hata ukitumia Tricks za aina gani yeye akikubali ndio inakuwa bien