Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo ni dalili mbaya

Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti??
Salamu za wanaume zinaeleweka (oiii ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo!!! Wenye tabia hizi badilikeni.
Aisee.. Sikuungi mkono... Hiyo salam ya Mambo inategemea na tone ya sauti..

Acha ushambaaaa....
 
Mambo ni adje ninja, kamanda, nyani, kichaa, nk.
Tatizo sio kukusalimia mambo tatizo hayo mambo ya kulegezeana sauti huyo mpige makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…