Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo ni dalili mbaya

Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo ni dalili mbaya

Mende anatabia ya kupenda mavi. Sasa mwanaume mwenzio unamwazia vibaya utakuwa una mawazo ya kisodoma. Ufala ni kudhania salamu ya mambo ina jinsia flani. Kwa uandishi wako tu naweza kukisia umri wako, ambao nastahili kukuita dogo. Hizo salamu za "oi ni gani" ni za watoto wanaojifunza usela. Wasela/Masela wenyewe wale gangstas wanawaita madogo wa dizaini yako MSELA MAVI. Yaani hao maskani/booth la majita hawakaribishwi na tabia zao za kishoga. Unaanzaje kumtamani mwanaume mwenzio kwa sababu ana sauti ndogo? watu wameumbwa na sauti tofauti.
Boraa umemuambia ukwelii.
 
Back
Top Bottom