Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sawa hyo n mshambaAisee.. Sikuungi mkono... Hiyo salam ya Mambo inategemea na tone ya sauti..
Acha ushambaaaa....
Poa Mbwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si mambo kavu inasound kike haswaaa.
Unaongea na experience inaonekana wanakutamani mtaani kwenu unadhani kila mtu mende.Mende anatabia ya kupenda mavi. Sasa mwanaume mwenzio unamwazia vibaya utakuwa una mawazo ya kisodoma. Ufala ni kudhania salamu ya mambo ina jinsia flani. Kwa uandishi wako tu naweza kukisia umri wako, ambao nasatahili kukuita dogo. Hizo salamu za "oi ni gani" ni za watoto wanaojifunza usela. Wasela/Masela wenyewe wale gangstas wanawaita madogo wa dizaini yako MSELA MAVI. Yaani hao maskani/booth la majita hawakaribishwi na tabia zao za kishoga. Unaanzaje kumtamani mwanaume mwenzio kwa sababu ana sauti ndogo? watu wameumbwa na sauti tofauti.
Sawa mshamba mwenzanguUpo sawa hyo n mshamba
Fresh mtoto mzuri.Mambo
fresh mbwaaPoa Mbwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.
Unaulizia baba unataka uwe stepmother??Kwahiyo hata babayako akikutana na wenzake anawasalimia oi ni gani,hizo salamu za vitoto vinavyobalehe kama wewe.ungesema habari za leo ningekuona umeshavunja ungo sasa wewe unaleta habari oi ni gani
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.
Unaulizia baba unataka uwe stepmother??
alitakiwa akutext vp sasa kama kweli yupo standJamaa ananitext "Nixubirie xtand, nafika xaxa hivi"
Huwa sijibu watu wa hivi,maana ni uboya.
Na ww mzungu iga kila kitu uwe chakula cha wanaume wenzakoWhat's up my man?!
How's it my guy?!
What's happening my soldier?!
Wazungu hadi wanaitana "man wangu" sisi kusema mambo imekua nongwa. Wabongo ni wanoko sana aisee.
Mwanaume kutumia X badala ya S pia ni uboya. Ilibidi aseme "Nisubirie stand, nafika sasa hivi"alitakiwa akutext vp sasa kama kweli yupo stand