Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAPANA mkuu.Hahaha akupe namba na wewe uminyiwe mkuu hehehe
Hehehe kwani alimaanisha ushoga ee!?
Ha ha ha oi nimependa hapo ni keIvi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.
watoto siku hizi wanawaza ngono tu,hata wakikuta mama zao wanasugua sufuria wanapga hesabu za pampu,tumeanza kutumia salamu ya mambo mwaka 1990,ni sisi baba zenu wa kambo na si mama zenu waloanzisha hyo salamuDogo tunampoteza huyu! Mambo haijawahi kuwa salamu ya jinsia flani. Sema wewe ushamuwazia vibaya mwanaume mwenzio una vinasaba vya mende mpenda choo. Acha hizo au umetoka kijijini juzi? Sio wote wana salamiana "Oi", n.k. Usikalili kijana.
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti? Salamu za wanaume zinaeleweka (oi ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo! Wenye tabia hizi badilikeni.
Hiyo 'Dogo tunampoteza huyu' kama unanijua....Dogo tunampoteza huyu! Mambo haijawahi kuwa salamu ya jinsia flani. Sema wewe ushamuwazia vibaya mwanaume mwenzio una vinasaba vya mende mpenda choo. Acha hizo au umetoka kijijini juzi? Sio wote wana salamiana "Oi", n.k. Usikalili kijana.
Qualification za kuwa baba wa kambo HUNAwatoto siku hizi wanawaza ngono tu,hata wakikuta mama zao wanasugua sufuria wanapga hesabu za pampu,tumeanza kutumia salamu ya mambo mwaka 1990,ni sisi baba zenu wa kambo na si mama zenu waloanzisha hyo salamu
Si mambo kavu inasound kike haswaaa.Au Akisema Mambo Aongezee Vipi.Like MAMBO VIPI MZEE. Yani Anaulizia Maisha Yanaendaje Ila Sio "Mambooooo"
Manina Ntakuzingua Mambo Ya KiJamesDelishiaz Hayo
mambo salamu ya wanaume,habari yako ndo ya akina mama,zamani tuliotumia 'mambo' tulionekana wahuniQualification za kuwa baba wa kambo HUNA
Mama hawezi vumilia anakuona unamsalimia mwanamme mwenzako mambo!!
mzee mkapa anakusoma,ndo ilikua salamu yakeSi mambo kavu inasound kike haswaaa.
Zamani ndio mlitumia mambo enzi zinabadilika sasa ivi mambo salamu ya kike kike.mambo salamu ya wanaume,habari yako ndo ya akina mama,zamani tuliotumia 'mambo' tulionekana wahuni
acha ukiritimbaMm ukianza tu oya, niaje mchiz au Mzee sijui vip mitikas nakuweka kwenye kundi la wahuni tu kama wahuni wengine
Mende anatabia ya kupenda mavi. Sasa mwanaume mwenzio unamwazia vibaya utakuwa una mawazo ya kisodoma. Ufala ni kudhania salamu ya mambo ina jinsia flani. Kwa uandishi wako tu naweza kukisia umri wako, ambao nastahili kukuita dogo. Hizo salamu za "oi ni gani" ni za watoto wanaojifunza usela. Wasela/Masela wenyewe wale gangstas wanawaita madogo wa dizaini yako MSELA MAVI. Yaani hao maskani/booth la majita hawakaribishwi na tabia zao za kishoga. Unaanzaje kumtamani mwanaume mwenzio kwa sababu ana sauti ndogo? watu wameumbwa na sauti tofauti.Mende katoka wapi kama si ufala??