Punnisher
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,169
- 1,376
hapana kuna mashaka...hizi zako huwa nazisikia kutoka kwa wanawake....wakiwambia waume zao....Jifunzeni kusalimia kama wanaume.... 'habari za kazi' au 'habari za mihangaiko' au 'habari za asubuhi/saa hizi'