Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo ni dalili mbaya

Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo ni dalili mbaya

Salamu za kibishi..
1.Niaje...selaa/bobu/mwanetu
2.Oiii
3.Kama kawaa?!!
4.Mambo ni gani mselaa?

Za kistaarabu,
1.Kaka vipi???
2.Bibie mambo vp!!?
 
Oya niaje mwamba...
Oya baharia vp?....
Oi lete habar askar wangu...
Hizi ndzo salamu za kiiume mm ukinibia mambo kidume nakupukutisa au nakusaula
 
Ivi unajisikiaje kumsalimia mwanaume mwenzako mambo afu umebinya sauti??
Salamu za wanaume zinaeleweka (oiii ni gani, inakuaje) na zingine sasa unakuta mwanaume unatext mambo!!! Wenye tabia hizi badilikeni.
Acha zako wewe
 
Mambo naitumia kama text ya mwanzo kwa dem alietoka kunipa namba sokoni, Dume zima unamwambia mwenzio mambo tena kwa kulegeza sauti, Hapo tusijuane brother

Salamu mie nazipenda za kibabe, "leta habari mura, inakuwaje ninja, Niadge soldier"
 
Back
Top Bottom