Mwanaume kumwita mwanaume mwenzio kwa herufi ya kwanza ya jina lake imekaaje?

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Wakuu,

Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.

Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?

Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.
 
Inaruhusiwwa kwa majina yanayo anzia na herufi j tu tofauti na herufi j ni ukhanithi
 
Mh..mleta mada unalako jambo.
Nimekuelewa Q [emoji13] [emoji13]
 
Hahahaaa. Kaazi kweli kweli.

Ila kimjini mjini kila wanalofanya wanawake na baadhi ya wanaume huwa wanajikuta wanatamani tu kufanya na wao.
Mi sioni big deal hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…