Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Wakuu,
Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani.
Mwanaume unafungua kinywa kabisa unamuita mwanaume mwenzio "D" au "J"? Kweli?
Mwanaume kaza kidogo. Huwezi kukosa nguvu ya kutaja jina zima.