Mwanaume kumwita mwanaume mwenzio kwa herufi ya kwanza ya jina lake imekaaje?

Kama wanaume kuita jina kwa herufi moja ni kujibebisha kwahiyo na wanawake wakimuita mtu jina lake kwa kirefu, yaani jina kamili nao wanakua wanajifananisha na wanaume? nawaza tu teh! teh!
Mkuu umeumia sana najua ila kufupisha jina ni kujibebisha. Mimi hubby namuita jina lote tukiwa serious ila kitandani nafupisha tena sharti natamkia puani. Haloooooooooooooooooooooooo!
 
Ha ha ha ha QQQQ
 
Mkuu umeumia sana najua ila kufupisha jina ni kujibebisha. Mimi hubby namuita jina lote tukiwa serious ila kitandani nafupisha tena sharti natamkia puani. Haloooooooooooooooooooooooo!
Hahahaa! niumie kwa lipi aisee!? kwanza sina tabia hiyo ila nauliza maswali tu ili kuleta ulinganishi kwenye mada yako,au hutaki nikusapoti kwa kujazia jazia mada yako?
 
Hahahaa! niumie kwa lipi aisee!? kwanza sina tabia hiyo ila nauliza maswali tu ili kuleta ulinganishi kwenye mada yako,au hutaki nikusapoti kwa kujazia jazia mada yako?

Mada yangu imeshasheheni mkuu endelea kuleta ulinganishi. Mimi ni mwanamke mkuu naweza kuitwa V; mada inahusu majina ya kiume...
 
Imeandikwa...

Mwanamke akivaa suruali,mwanaume vaa gauni,msibishane.

Nimeamua kuvaa gauni mniwie radhi sana.
 
uanaume ni mgumu kila kitu kinapigwa
utaambiwa hata kuchambia maji utaambiwa wanawaume hatakiwi hivyo aseleleke tu kwenye majani
Kula like mkuu

Wanaweza waseme mwanaume kweli anachambia vigunzi vya mahindi
 
Northern Republic hahahahaha nakuelewa sana mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…