Ukanikaushia PM DuuOya D kwa kibesi inakuwa fresh tu
Hahahaa. Mfano wewe Mshenga mwanaume mwenzio anakuita G.
This is chitchat wapanick nini?Kuna mtu uku mtaani tunamuita 'BROTHER K' COZ jina lake linaanzia na K
Sasa we endelea kuhisihisi kila ulisikialo
Watu wenye akili kama zako mnaishi maisha ya tabu sana
Ondokana na stress ishi ujuavyo
Kama we ni mwanaume ni mwanaume tu, ata ukiigiza kama mwanamke mbele ya kadamnasi
Ila kama we ninpunga ni punga tu atakama ukijifanya mgumu
Mkifika kwenye kulalamika kwa tunaoitwa jina kwa herufi kadhaa za mwanzo wa jina, mnishitue nimwage povu.Hahahaaa. Mleta uzi ndio kaona sio.
Ila kwani kutamka neno zima kuna gharama gani au ndio Swaga?
Kudadeki akiniita hvooo na dada yake namuacha..Kuwa wale wanaume wanaita shemeji zao shem darling
Aiseee
Huyo atakua ni "k" tu. Na kama hadi Zama hizi unamwita k na bado anaitika hakika huyo k haswaa!!!Inategemea. nina rafiki yangu ana jina refu la kilugha kulitaja kwa pamoja ni cumbersome,hivyo tangu nursery/vidudu tunamuita "K" sasa kwa maana yako basi kaka zake,sisi marafiki zke,wajomba wake,mzee wake ni mashoga??
Na dogo mwingine anaitwaga Karim jirani yetu ila hadi babaake anamuita "K" nae ni shoga??