rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami.
Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi kazingua alafu wewe unaanza kutetemeka hata kama ndo Kujua mapenzi ukubwani wanaume kamili hafanyi hivyo na ukifanya hivyo Huyo mwanamke atazidi kukudharau japo najua wapo wengi waliowahi kufanya hivyo na wengine bado wanafanya hivyo. Sio manzi tu hata Mkeo akikosea yeye ndo atetemeke na kuomba msamaha acha kupalilia penzi lililokufa.
Imeishaaa hiyo.....
Pia, slma Ukimkosea Mwanamke usimwombe msamaha, piga kimya. Ukiomba msamaha ndio umeanzisha vita