Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humjui mdudu nyege wew....unapiga hata goti
Sasa pale anapokosea alafu unaomba wewe msamaha inakuwajw hapo???Sio kweli boss... Ukitaka uenjoy mapenzi kusiwe na kushindana kwa nguvu ( kusiwe na mmoja kujiona ana nguvu zaidi ya mwenzake ). Elewa mpenzi wako na wewe mnaishi kwa kutegemeama... umekosa omba msamaha, amekosa aombe msamaha aseme samahani
hapa vidada vinajidai ukiomba msamaha unakufa hapohapo unakuta mtaani vina majamaa matukutu hayaombi msamaha na bado wanawapenda.Ukiomba msamaha una kufa?
Soma vizuri mkuu post yangu utapata jibu lako.Hata kama hujakosea wewe???
Unaweza ukawa flexible .. kuna issue ambazo direct anakuwa responsible, hizo kama ana akili atawajibika nazoUkizoea hivyo utateseka sana Mkuu...!! Mwanamke atajihesabia haki hata kama anakosea
Sasa pale anapokosea alafu unaomba wewe msamaha inakuwajw hapo???
HongeraKama umefanya kosa haijalishi ni kwa nani kuomba msamaha hakupunguzi kitu.
Mm nikikosea huwa naomba msamaha hata kama mtu ni mdogo kwa umri kwangu. Kuna watu hawajui kuomba msamaha anafanya kosa halaf kesho anakusemesha kama hamna tatizo huwa sijibu.
NaamMapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami.
Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi kazingua alafu wewe unaanza kutetemeka hata kama ndo Kujua mapenzi ukubwani wanaume kamili hafanyi hivyo na ukifanya hivyo Huyo mwanamke atazidi kukudharau japo najua wapo wengi waliowahi kufanya hivyo na wengine bado wanafanya hivyo. Sio manzi tu hata Mkeo akikosea yeye ndo atetemeke na kuomba msamaha acha kupalilia penzi lililokufa.
Imeishaaa hiyo.....
Pia, slma Ukimkosea Mwanamke usimwombe msamaha, piga kimya. Ukiomba msamaha ndio umeanzisha vita
Hongera