Mwanaume kuomba msamaha kwenye Mapenzi ni udhaifu

Mwanaume haombi msamaha kwa Mpenzi/Mke wake! Bali tunamaliza kesi/ugomvi.

Msamaha utaombwa kesi ikifika kwa paroko au shehe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Wewe rigendii aisee
 
Pia unaweza omba msamha hata kama hujakosea, ili kuweka mambo sawa.. then amani ikiwepo sasa ndio mnakaa mnaongea vizuri
Ukizoea hivyo utateseka sana Mkuu...!! Mwanamke atajihesabia haki hata kama anakosea
 
Sio kweli boss... Ukitaka uenjoy mapenzi kusiwe na kushindana kwa nguvu ( kusiwe na mmoja kujiona ana nguvu zaidi ya mwenzake ). Elewa mpenzi wako na wewe mnaishi kwa kutegemeama... umekosa omba msamaha, amekosa aombe msamaha aseme samahani
Sasa pale anapokosea alafu unaomba wewe msamaha inakuwajw hapo???
 
Ukiomba msamaha una kufa?
hapa vidada vinajidai ukiomba msamaha unakufa hapohapo unakuta mtaani vina majamaa matukutu hayaombi msamaha na bado wanawapenda.

teh teh.. tuishi nao kwa akili hawa wake zetu wa badae, ni matata sana.
 
Sasa pale anapokosea alafu unaomba wewe msamaha inakuwajw hapo???

Hata Masihi alikufa kwa wenye dhambi... ingawa yeye hakuwahi kutenda dhambi... sio mbaya mala moja moja kuwa responsible kwa makosa ya mwingine
 
Hongera
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…