Okrap JF-Expert Member Joined Jul 13, 2022 Posts 1,112 Reaction score 2,311 May 5, 2023 #1 Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
Huyu mwanaume Paul Mackenzie anawapa wanawake huko Kenya usingizi wa usiku Nasikia najiandaa kuja bongo kuwapa usingizi.
Notorious thug JF-Expert Member Joined Dec 29, 2021 Posts 2,817 Reaction score 10,667 May 5, 2023 #2 Akija Bongo wanawake wataisha ni kufukiwa tu.
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 May 5, 2023 #3 Uwezo wa kufikiria mdogo sanaa
Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 6,053 Reaction score 10,032 May 5, 2023 #4 😐😐
Killa Cam JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 2,264 Reaction score 6,679 May 5, 2023 #5 Mwambieni wanaume wa Tanzania tupo milimani tuna chapa shetani bakora😂😂
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,836 Reaction score 6,303 May 5, 2023 #6 Iwe ni kweli au tetesi; katika haya maisha, shida/matatizo yakizidi, uwezo wa kutumia akili unapungua
Iwe ni kweli au tetesi; katika haya maisha, shida/matatizo yakizidi, uwezo wa kutumia akili unapungua