Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Amani iwe kwenu
Kwa Mara kadha wa kadha nimekuwa najiuliza maswali machache juu ya wanaume wanaovaa hereni hasa wasanii na wachache wasio wasanii. Kutokana na hali hyo nimejiuliza maswali machache ambayo mnaweza kunisaidia kuyapatia ufumbuzi.
Je,hii tabia ya kuvaa heleni kwa wanaume ni kwamba wana hormone za kike nyingi?
Je,huwa wanatamani ushoga?
Je, huwa wanapenda waonekane kuwa hawana tofauti na wanawake?
Je,huwa ni matamanio ya kubeba mimba?
Je,huwa ni urembo ili wapendeze kama wanavopendeza wanawake(yaani waonekane sawa wanawake).
*Upande wa Pili hali ikoje*
Kwenye maandiko matakatifu kutoka kwenye biblia na qurani yanaruhusu mwanaume kuvaa hereni na wakati mwingne kutoa pua?
Natumai nitapata majibu ya maswali yangu japo wanaume wanaovaa hereni na kutoa pua wataonekana kunishambulia kwa kuwachafulia CV yao na haiba yao.