Mwanaume kuvaa hereni ni kutamani yale wanaofanyiwa wanawake kwa waume zao?

Mwanaume kuvaa hereni ni kutamani yale wanaofanyiwa wanawake kwa waume zao?

Kitu mradi afanye Mzungu ...!
 
mbona umewataja wanaume wenye pesa ambao hawavai heleni tu?

Je, hao ndio watu pekee wenye pesa unaowajua?

Vipi kuhusu wale wenye hela
na heleni wanavaa? wengine hata zaidi heleni!

Au ulikuwa unatafuta pakuanzia ili umalizie kwa hoja ya pedi?
[emoji2]
Hii ya mwanaume kufuga kucha,kutoboa sikio, kuvaa heleni, kuchoma nywele n.k.TUSITAFUTE UHALALI WAKE!!!
Ni kielelezo cha upungufu wa uanaume!
 
Nahisi ni kuiga sign za mastaa wakubwa duniani. Ingawa kwa tamaduni zetu ukiondoa wamasai si sahihi. Lakini ni vema kuwa busy na mambo yako sio kufiatilia watu na maisha yako
 
Mimi, Dangote, Bakhresa, Mengi mbona hatuvai?
hao wenye mbwembwe za pesa kuna siku wataanza kuvaa pedi,na tutawetetea hivihivi
Ndio nashangaa mbona sisi hatuvai? Na tuna fedha za kutosha tu. Kuwa na vipesa mbuzi then kujisifia una hela ni ubwege. Sisi wenye hela tunakuwa tunawa-enjoy sana.
 
Binafsi Sivai hereni, sintovaa hereni coz sioni sababu na sina hobby hiyo

ILA, Naamini wanaume wanaovaa ni swagaz tu na kuonesha uclass flani

Mfano mzuri unamfahamu vizuri huyo Diamond, ni baba wa familia...je ulishawahi kusikia habari ya kutaka kupumuliwa?

Je Mr. Blue?

Je Young Killer?

Je P.Didy?

Ni swaggaz tu naona.
Muongeze na Ben Kinyaiya naye ni Baba wa familia
 
Kuvaa hereni kwa mwanaume ni jambo la kawaida mno.

Nakumbuka mwaka 2013 nyumbani & ndugu zangu walinipiga vita sana na kutaka kunitenga eti kisha navaa hereni masikio yote mawili, nimetoboa pua, nina kikuku mguuni mwa kushoto na nimechora tattoo, kuvaa cheni pia kifuani, na kupaka rangi kucha zangu, kushuka dread & kuweka dawa nywele, ila sikujali hilo mpaka sasa bado navaa hivyo na nina mke na watoto wawili......

Ni kuishi jinsi unavyotaka wala usiangalie jamii itakufikiriaje na kujikubali.. Na kujitambua wewe ni nani.
Duuu sasa kama yote hayo unafanya, ukitembea njiani na mkeo, mluzi ukipigwa, utajua anapigiwa mkeo au wew???
 
Duuu sasa kama yote hayo unafanya, ukitembea njiani na mkeo, mluzi ukipigwa, utajua anapigiwa mkeo au wew???
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Bila shaka mke wangu atageuka....
Na kwanini wapige mluzi wanatutakia nini hasa......

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
 
KWANI jf Nzima hakuna anayevaa hereni atueleze nini sababu ya kufanya HIVYO
 
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Bila shaka mke wangu atageuka....
Na kwanini wapige mluzi wanatutakia nini hasa......

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
Sasa si wote mmepaka rangi, mmeweka dawa kwenye nywele, mmevaa hereni, etc watahisi wote ni ke [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ni utumwa tu wa kifikra mwanaume mzima ukitoga, mara nyingine ni ushoga mboga wali nazi.
 
Kuvaa heleni kwa mwanaume ni ushamba na upumbavu tu. Bila kujali kavaa nani
 
Binafsi Sivai hereni, sintovaa hereni coz sioni sababu na sina hobby hiyo

ILA, Naamini wanaume wanaovaa ni swagaz tu na kuonesha uclass flani

Mfano mzuri unamfahamu vizuri huyo Diamond, ni baba wa familia...je ulishawahi kusikia habari ya kutaka kupumuliwa?

Je Mr. Blue?

Je Young Killer?

Je P.Didy?

Ni swaggaz tu naona.
chochote kisichokuhusu kwa asili, ukikifanya kitatafsiliwa kilivyo kwa asili yake.
hereni ni mapambo ya wanawake tu, kama unataka kuhalalisha haya mapambo kwa kuyaita majina unayotaka, jamii itakusoma hivo,
"Anzeni kupaka wanja na shedo"
nazo muite "swagas" sijui ni msemo wa kamusi gani!
 
Sasa si wote mmepaka rangi, mmeweka dawa kwenye nywele, mmevaa hereni, etc watahisi wote ni ke [emoji13] [emoji13] [emoji13]
JESHINI WATU WA AINA HII HAWATAKIWI KWANI WOTE WANAINEKANA TEKETEKE
 
Back
Top Bottom