Mwanaume kuvaa hereni ni kutamani yale wanaofanyiwa wanawake kwa waume zao?

Mwanaume kuvaa hereni ni kutamani yale wanaofanyiwa wanawake kwa waume zao?

Hili lipo nje ya uwezo wangu nabaki kuwa msomaji tu
 
Mimi, Dangote, Bakhresa, Mengi mbona hatuvai?
hao wenye mbwembwe za pesa kuna siku wataanza kuvaa pedi,na tutawetetea hivihivi
Ndo wanakoelekea...ni upuuzi sana kuiga umagharibi ambao kwetu ni kutuharibia watoto wetu
 
Jeuri ya fedha kwa mwanaume Ni kuishia kujinunulia hereni?very pathetic!is there any other important thing we can do?

What's pathetic, is sweating over another man's choice of how to spend his sweat, Chief. What's important to you, isn't necessarily important to me, and vice versa.

CC;BIG,"putting five carrots to my baby girl ear" hiyo ilikua jeuri ya Notorious BIG but he never mentioned/brag himself for such petty and unuseful things,he also addressed the ability to move out from the projects to his own house with his mom.jeuri ya pesa kwa hustler .hereni kwa mwanaume Ni sawa Na ushoga tu nothing else .

You make it so easy to ridiculed my friend. He never said carrots, it's carats (google the meaning). Hahaha, you surely don't know sh!t about Biggie nor rap bruh. Notorious BIG's game was all but material bragging son, do your homework first.

Heart throb? Never!, black and ugly as ever/
However, I stay Coogi down to the socks/
Rings and watch filled with rocks/
Kama alivyohoji Bufa, vipi kuhusu wamasai, Kombai(West Africa) na makabila ambayo wanaume wanatoboa masikio na pua toka enzi?

a23256c1e693ff42584b8cafefb6a94b.jpg

kombai-korowai.jpg

Uvaaji cheni, hereni, kutoboa pua vimekuwa toka zamani sana. Wanachofanya kizazi kipya ni kuweka price tags tu. Hizi habari za ushoga ni wishes zenu tu, so jichunguzeni vizuri.

Papua_Carstensz_Damal_tribe%20(1).JPG

kombai-02.jpg

zulu_warrior_african_traditional_costume.jpg
 
Vipi kuhusu ambao tamaduni zao zinaruhusu wao kuvaa heleni kama wamasai?

Kimjaacho mtu ndiyo kimtokacho kama wewe mawazo yako yapo kishoga Lazima wewe ndiyo unapumuliwa.
Mila za Wamasai zinaruhusu. Ila sijui kama mila wengine wanaovaa kama zinaruhusu hiyo makitu.
 
Mimi huwa simuelewi mwanaume anayevaa hereni ,ni upuuzi tu wacha niwe wa kizamani
 
Mila za Wamasai zinaruhusu. Ila sijui kama mila wengine wanaovaa kama zinaruhusu hiyo makitu.
FYI kuvaa hereni na kusuka kwa wanaume Ni tamaduni ya jamii nyingi za waafrika, kuacha matumbo na matiti wazi kwa wanawake, kuvaa sketi fupi, kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na mambo kadha wa kadha ambayo leo mnaona kama yamepitwa na wakati au ni kutostaarabika kwa mtu anayeyafanya.

Utumwa wa kwanza wa muafrika ni Kuacha tamaduni zake na kuamuliwa cha kufanya/kutofanya na kuabudu na watu weupe.
 
Tokea misri ya kale mambo haya yalikuwepo
 
Ni utashi, na kuiga mambo ya kimagharibi.
Hii ni sawa na wanawake wanapo vaa suruali ama kaptula
 
Binafsi siwez kuvaa heren na cjui hata km naeza kuvaa hata kidogo
labda nikijarbu sana ni cheni
 
Huyo daimond hapo kwenye picha sio tu anavaa hereni, anavaa hadi kipini cha pua.
1482308533754.jpg

mashabiki wasifuatilie maisha yake bali wafuatilie kazi zake.
 
Mimi, Dangote, Bakhresa, Mengi mbona hatuvai?
Hao wenye mbwembwe za pesa kuna siku wataanza kuvaa pedi,na tutawetetea hivihivi
Mbona umewataja wanaume wenye pesa ambao hawavai heleni tu?

Je, hao ndio watu pekee wenye pesa unaowajua?

Vipi kuhusu wale wenye hela
na heleni wanavaa? wengine hata zaidi heleni!

Au ulikuwa unatafuta pakuanzia ili umalizie kwa hoja ya pedi?
[emoji2]
 
Huyo daimond hapo kwenye picha sio tu anavaa hereni, anavaa hadi kipini cha pua.
View attachment 448875
mashabiki wasifuatilie maisha yake bali wafuatilie kazi zake.
Sawa mkuu.
Pamoja na kufuatilia kazi zake na siyo maisha yake hapo nakuunga mkono. Lakini je,kama msanii ambaye ni kioo ktk jamii inajifunza nn kutoka kwake juu ya kipini cha pua? Je, ni sahihi mwanae wa kiume nae kumuiga babaake juu ys uwekaji wa vipini puani?
 
Kuvaa hereni kwa mwanaume ni jambo la kawaida mno.

Nakumbuka mwaka 2013 nyumbani & ndugu zangu walinipiga vita sana na kutaka kunitenga eti kisha navaa hereni masikio yote mawili, nimetoboa pua, nina kikuku mguuni mwa kushoto na nimechora tattoo, kuvaa cheni pia kifuani, na kupaka rangi kucha zangu, kushuka dread & kuweka dawa nywele, ila sikujali hilo mpaka sasa bado navaa hivyo na nina mke na watoto wawili......

Ni kuishi jinsi unavyotaka wala usiangalie jamii itakufikiriaje na kujikubali.. Na kujitambua wewe ni nani.
 
Mkuu ulikomalizia nimekuelewa
 
Back
Top Bottom