Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Uvaaji wa hereni kwa wanaume mara nyingi ni kwa ajili ya mbwembwe na kuonyesha jeuri ya fedha. Hizo habari za kupumuliwa, ni mawazo yako tu, so jitathmini pia kwanini unakuwa na mawazo kama hayo.
Ndo wanakoelekea...ni upuuzi sana kuiga umagharibi ambao kwetu ni kutuharibia watoto wetuMimi, Dangote, Bakhresa, Mengi mbona hatuvai?
hao wenye mbwembwe za pesa kuna siku wataanza kuvaa pedi,na tutawetetea hivihivi
Jeuri ya fedha kwa mwanaume Ni kuishia kujinunulia hereni?very pathetic!is there any other important thing we can do?
CC;BIG,"putting five carrots to my baby girl ear" hiyo ilikua jeuri ya Notorious BIG but he never mentioned/brag himself for such petty and unuseful things,he also addressed the ability to move out from the projects to his own house with his mom.jeuri ya pesa kwa hustler .hereni kwa mwanaume Ni sawa Na ushoga tu nothing else .
Hata mkufu/cheni?Kujipamba kwa mapambo kama hereni na mikufu ni hulka za kike.
Mila za Wamasai zinaruhusu. Ila sijui kama mila wengine wanaovaa kama zinaruhusu hiyo makitu.Vipi kuhusu ambao tamaduni zao zinaruhusu wao kuvaa heleni kama wamasai?
Kimjaacho mtu ndiyo kimtokacho kama wewe mawazo yako yapo kishoga Lazima wewe ndiyo unapumuliwa.
FYI kuvaa hereni na kusuka kwa wanaume Ni tamaduni ya jamii nyingi za waafrika, kuacha matumbo na matiti wazi kwa wanawake, kuvaa sketi fupi, kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na mambo kadha wa kadha ambayo leo mnaona kama yamepitwa na wakati au ni kutostaarabika kwa mtu anayeyafanya.Mila za Wamasai zinaruhusu. Ila sijui kama mila wengine wanaovaa kama zinaruhusu hiyo makitu.
Tokea misri ya kale mambo haya yalikuwepoFYI kuvaa hereni na kusuka kwa wanaume Ni tamaduni ya jamii nyingi za waafrika, kuacha matumbo na matiti wazi kwa wanawake, kuvaa sketi fupi, kucheza ngoma, kuoa wanawake wengi na mambo kadha wa kadha ambayo leo mnaona kama yamepitwa na wakati au ni kutostaarabika kwa mtu anayeyafanya.
Utumwa wa kwanza wa muafrika ni Kuacha tamaduni zake na kuamuliwa cha kufanya/kutofanya na kuabudu na watu weupe.
Mbona umewataja wanaume wenye pesa ambao hawavai heleni tu?Mimi, Dangote, Bakhresa, Mengi mbona hatuvai?
Hao wenye mbwembwe za pesa kuna siku wataanza kuvaa pedi,na tutawetetea hivihivi
Sawa mkuu.Huyo daimond hapo kwenye picha sio tu anavaa hereni, anavaa hadi kipini cha pua.
View attachment 448875
mashabiki wasifuatilie maisha yake bali wafuatilie kazi zake.
Mkuu ulikomalizia nimekuelewaKuvaa hereni kwa mwanaume ni jambo la kawaida mno.
Nakumbuka mwaka 2013 nyumbani & ndugu zangu walinipiga vita sana na kutaka kunitenga eti kisha navaa hereni masikio yote mawili, nimetoboa pua, nina kikuku mguuni mwa kushoto na nimechora tattoo, kuvaa cheni pia kifuani, na kupaka rangi kucha zangu, kushuka dread & kuweka dawa nywele, ila sikujali hilo mpaka sasa bado navaa hivyo na nina mke na watoto wawili......
Ni kuishi jinsi unavyotaka wala usiangalie jamii itakufikiriaje na kujikubali.. Na kujitambua wewe ni nani.