Mwanaume kuvaa hereni ni kutamani yale wanaofanyiwa wanawake kwa waume zao?

Kitu mradi afanye Mzungu ...!
 
Hii ya mwanaume kufuga kucha,kutoboa sikio, kuvaa heleni, kuchoma nywele n.k.TUSITAFUTE UHALALI WAKE!!!
Ni kielelezo cha upungufu wa uanaume!
 
Nahisi ni kuiga sign za mastaa wakubwa duniani. Ingawa kwa tamaduni zetu ukiondoa wamasai si sahihi. Lakini ni vema kuwa busy na mambo yako sio kufiatilia watu na maisha yako
 
Mimi, Dangote, Bakhresa, Mengi mbona hatuvai?
hao wenye mbwembwe za pesa kuna siku wataanza kuvaa pedi,na tutawetetea hivihivi
Ndio nashangaa mbona sisi hatuvai? Na tuna fedha za kutosha tu. Kuwa na vipesa mbuzi then kujisifia una hela ni ubwege. Sisi wenye hela tunakuwa tunawa-enjoy sana.
 
Uvaaji wa hereni kwa wanaume mara nyingi ni kwa ajili ya mbwembwe na kuonyesha jeuri ya fedha. Hizo habari za kupumuliwa, ni mawazo yako tu, so jitathmini pia kwanini unakuwa na mawazo kama hayo.
Kwahiyo mtu akivaa hereni ya elfu tano ni kuonyesha jeuri ya pesa? Mbwembwe za kike
 
Muongeze na Ben Kinyaiya naye ni Baba wa familia
 
Duuu sasa kama yote hayo unafanya, ukitembea njiani na mkeo, mluzi ukipigwa, utajua anapigiwa mkeo au wew???
 
Duuu sasa kama yote hayo unafanya, ukitembea njiani na mkeo, mluzi ukipigwa, utajua anapigiwa mkeo au wew???
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Bila shaka mke wangu atageuka....
Na kwanini wapige mluzi wanatutakia nini hasa......

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
 
KWANI jf Nzima hakuna anayevaa hereni atueleze nini sababu ya kufanya HIVYO
 
[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Bila shaka mke wangu atageuka....
Na kwanini wapige mluzi wanatutakia nini hasa......

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
Sasa si wote mmepaka rangi, mmeweka dawa kwenye nywele, mmevaa hereni, etc watahisi wote ni ke [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ni utumwa tu wa kifikra mwanaume mzima ukitoga, mara nyingine ni ushoga mboga wali nazi.
 
Kuvaa heleni kwa mwanaume ni ushamba na upumbavu tu. Bila kujali kavaa nani
 
wewe acha ushamba watu wanatoga rinda unachonga kuhusu sikio ?
 
chochote kisichokuhusu kwa asili, ukikifanya kitatafsiliwa kilivyo kwa asili yake.
hereni ni mapambo ya wanawake tu, kama unataka kuhalalisha haya mapambo kwa kuyaita majina unayotaka, jamii itakusoma hivo,
"Anzeni kupaka wanja na shedo"
nazo muite "swagas" sijui ni msemo wa kamusi gani!
 
Sasa si wote mmepaka rangi, mmeweka dawa kwenye nywele, mmevaa hereni, etc watahisi wote ni ke [emoji13] [emoji13] [emoji13]
JESHINI WATU WA AINA HII HAWATAKIWI KWANI WOTE WANAINEKANA TEKETEKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…