Mwanaume kuvaa hereni ni kutamani yale wanaofanyiwa wanawake kwa waume zao?

US Mwanaume ukivaa hereni Sikio la Kushoto Maana yake ni Mfirwaji Ila kwa hapa Tanzania sijui Kama ni ishara ya kitu au urembo na ujanja tu.

By Pohamba wa jf
 
Vipi kuhusu ambao tamaduni zao zinaruhusu wao kuvaa heleni kama wamasai?

Kimjaacho mtu ndiyo kimtokacho kama wewe mawazo yako yapo kishoga Lazima wewe ndiyo unapumuliwa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].Bufa na wewe unavaa hereni nini? mimi mwenyewe navaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi kuhusu ambao tamaduni zao zinaruhusu wao kuvaa heleni kama wamasai?

Kimjaacho mtu ndiyo kimtokacho kama wewe mawazo yako yapo kishoga Lazima wewe ndiyo unapumuliwa.
Wavaa heleni wengi lazima wa like comment hii.
 
Mkuu Kwahiyo umeoana dada zako wanafaidi sana ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…