Wameiba Kura
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 390
- 3
mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya huo upuuzi.
huyo ana kasoro fulani lazima,sio bure.
Hilo la mwanaume kuvaa shanga sasa itakuwa unajitafutia kumegwa tu muangalie sana huyo jamaa yako anaweza jisifia wanawake wana mpapatikia kumbe ndio wanaomuunganisha kwa majamaa! ila jibu swali hili wewe ulimuonaje mwanaume mwenzio anashanga?
sasa Cheusi mbona mm nimeambiwa nivae chupi ya GF wangu ni halali? je shanga na chupi ipi afadhali? mm zote sikubali, is beyond manhood bana
Kiuno ni kiungo ambayo nyonga ya mwanamke ipo na sehemu hyo iko vry sensitive an erotic so mwanaume wastahili kuzichezea zle shanga kama wazihesabu vle huku ukimkuna bi dada.nakuvaa shanga c uhuni ni chachandu tuu.mi hua huzivua afta shuguli mana naogopa zcje mwagika mbele ya kadamnasi mamaweeee ni noma nshawai mwona mmama kwenye daladala zlimwagika mhhh nilimwonea huruma kweliiBy Nicksixyo
Watakuja wenye shanga watakweleza wanapenda zichezeweje...Na huwa wanasikia ladha gani.Stay tuned dude!!:A S 576:
Haya ngoja niwasubiri!
Hilo Lonjo zoefu, kwani vipi .? Unaskitika labda ulisahau kuliomba No za simu au?
Au haukuli hayo makitu!
Wee wee ile makitu mbaya haifai kabisa (japo tam)hata shetani mwenyewe akikuona unafanya ile kitu anakimbia
Si unakula mara 1 haurudii !
Unafikiri ukiamua kukula then ukatuambia , hakuna jukwaa linalofichaga siri za wadau wake kama Chtcht.
Tutakufichia siri.
Hilo Lonjo zoefu, kwani vipi .? Unaskitika labda ulisahau kuliomba No za simu au?
Au haukuli hayo makitu!
Wee wee ile makitu mbaya haifai kabisa (japo tam)hata shetani mwenyewe akikuona unafanya ile kitu anakimbia
Umejuaje kuwa ni tam mkuu